CBE · Lower Primary

Grade 1 Kiswahili Activities Scheme of Work — Terms 1, 2 and 3, 2026

A CBE Kiswahili Activities scheme of work for Grade 1 covering Terms 1, 2 and 3 2026: strands and sub-strands mapped week by week with specific learning outcomes, key inquiry questions, suggested learning experiences, resources and assessment methods.

Level
Grade 1
Subject
Kiswahili Activities
Terms
Terms 1, 2 and 3
Year
2026
Weeks
39

Term 1 — Grade 1 Kiswahili Activities scheme of work

13 weeks · first 5 free

Strands and sub-strands covered

Kusikiliza na Kuzungumza Maamkuzi na Maagano · Maneno ya Adabu na Heshima · Matamshi Bora
Kusoma Usomaji Mwafaka · Kusoma kwa Ufasaha · Kusoma kwa Ufahamu
Kuandika Uandishi Bora · Hati Nadhifu Herufi kubwa · Hati Nadhifu Herufi Ndogo
Sarufi Matumizi ya Mimi na Sisi · Umoja na Wingi wa Majina · Matumizi ya Huyu na Hawa
Kusikilizana Kuzungumza Matamshi Bora
Grade 1 Kiswahili Activities Term 1 2026 scheme of work table
WikiSomoMadaMada NdogoMatokeo Maalum YanayotarajiwaMapendekezo ya Shughuli za UjifunzajiSwali DadisiRasilimali za UjifunzajiMbinu za TathminiTafakari
1 1 Kusikiliza na Kuzungumza Maamkuzi na Maagano Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua maneno ya maamkuzi (Hujambo? Hamjambo? Habari? Sijambo, Hatujambo, Nzuri) na maagano (Kwaheri, Kwaheri ya kuonana) kwa kutumia kadi maneno, michoro, chati, mti maneno, kapu maneno n.k. akishirikiana na wenzake; kusikiliza kifungu kifupi cha hadithi kuhusu maamkuzi na maagano mepesi kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijitali. Unatumia maneno gani kuwasalimu na kuwaaga watu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 2 Kusikiliza na Kuzungumza Maamkuzi na Maagano Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuamkua na kuitikia maamkuzi na maagano ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua maamkuzi na maagano yaliyotumiwa katika hadithi aliyoisikiliza akishirikiana na wenzake; kujadili michoro au picha zenye watu wanaoamkuana na wanaoagana akishirikiana na mwenzake; kuigiza maamkuzi na maagano (k.v. Hujambo - Sijambo; Hamjambo- Hatujambo; Habari - Njema/Nzuri; Kwaheri -. Unatumia maneno gani kuwasalimu na kuwaaga watu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 3 Kusikiliza na Kuzungumza Maamkuzi na Maagano Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia maamkuzi na maagano katika maisha ya kila siku. Mwanafunzi aelekezwe: Kwaheri ya kuonana) darasani akishirikiana na mwenzake au katika kikundi kwa kuzingatia umoja, upendo na heshima kwa wenzake; kueleza wenzake kuhusu maamkuzi na maagano aliyojadili na mzazi au mlezi wake. Unatumia maneno gani kuwasalimu na kuwaaga watu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 4 Kusoma Usomaji Mwafaka Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua namna ifaayo ya kuketi anaposoma. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua namna ya kuketi anaposoma (k.v. kutoinama sana, kuketi wima, kutoning’iniza miguu) kutoka kwenye picha, michoro, magazeti, vitabu, vifaa vya kidijitali akishirikiana na wenzake; kufanya mazoezi ya kuketi ipasavyo anaposoma; kutambua jinsi ya kushika kitabu ipasavyo kwa kutazama picha au michoro kwenye magazeti, chati, mabango, vitabu, vifaa vya kidijitali n.k. akishirikiana na wenzake. Je, unazingatia mambo gani unaposoma? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 1 Kusoma Usomaji Mwafaka Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua jinsi ya kushika kitabu ipasavyo anaposoma; kuelekeza macho kutoka kushoto hadi kulia na kutoka juu ya ukurasa hadi chini anaposoma. Mwanafunzi aelekezwe: kufanya mazoezi ya kushika kitabu ipasavyo anaposoma; kuelekeza macho kutoka kushoto hadi kulia na kutoka juu ya ukurasa hadi chini akiongozwa na mwalimu. Je, unazingatia mambo gani unaposoma? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 2 Kusoma Usomaji Mwafaka Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuonea fahari usomaji mwafaka maishani. Mwanafunzi aelekezwe: kutazama picha mbalimbali zinazotoka kushoto kwenda kulia na juu kwenda chini; kufanya mazoezi ya kufungua kurasa za kitabu ipasavyo; amsomee mzazi au mlezi kwa kuzingatia namna ifaayo ya kuketi na kushika kitabu. Je, unazingatia mambo gani unaposoma? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 3 Kuandika Uandishi Bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua namna ifaayo ya kuketi anapoandika; kuketi ifaavyo wakati wa kuandika. Mwanafunzi aelekezwe: kutazama picha zinazoonyesha jinsi ya kuketi na kushika kalamu katika vitabu au katika kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake; kutambua jinsi ya kuketi vizuri wakati wa kuandika kutoka kwenye picha; kuketi ipasavyo wakati wa kuandika. Je, ni mambo gani unapaswa kuzingatia wakati wa kuandika? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 4 Kuandika Uandishi Bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua jinsi ya kushika kalamu anapoandika. Mwanafunzi aelekezwe: kumwonyesha mwenzake jinsi ya kuketi wakati wa kuandika; kutambua namna ya kushika kalamu kutoka kwenye picha, michoro, magazeti, vitabu, vifaa vya kidijitali n.k akishirikiana na wenzake; kushika kalamu na kuidhibiti ipasavyo. Je, ni mambo gani unapaswa kuzingatia wakati wa kuandika? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 1 Kuandika Uandishi Bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika kutoka kushoto hadi kulia kwa hati za mkono; kuonea fahari uandishi mwafaka maishani. Mwanafunzi aelekezwe: kuwaonyesha wenzake jinsi ya kushika kalamu vizuri wakati wa kuandika; kuandika (kwa mfano kuchora kifaa cha darasani kama vile kiti, kitabu, kalamu, meza) kwa kushika kalamu ipasavyo na kuidhibiti; kuwapa wenzake kazi yake waipitie ili waitolee maoni. Je, ni mambo gani unapaswa kuzingatia wakati wa kuandika? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 2 Sarufi Matumizi ya Mimi na Sisi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua neno mimi na sisi katika sentensi alizopewa. Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza wimbo unaotumia neno mimi na sisi kutoka kwa mwalimu au kifaa cha kidijitali. Neno mimi na sisi hutumiwa kwa maana gani katika mawasiliano? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 3 Sarufi Matumizi ya Mimi na Sisi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia neno mimi na sisi ipasavyo katika sentensi alizopewa. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma sentensi fupi zilizoandikwa kwa kutumia neno mimi na sisi akishirikiana na wenzake; kujaza mapengo kwa kutumia mimi na sisi. Neno mimi na sisi hutumiwa kwa maana gani katika mawasiliano? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 4 Sarufi Matumizi ya Mimi na Sisi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutumia neno mimi na sisi katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi alizokamilisha kwa kujaza nafasi akitumia mimi na sisi ili ampe maoni yake. Neno mimi na sisi hutumiwa kwa maana gani katika mawasiliano? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 1 Kusikilizana Kuzungumza Matamshi Bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua sauti lengwa katika kadi maneno; kutamka sauti lengwa ipasavyo ili kuimarisha mazungumzo. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua sauti lengwa (/m/, /a/, /u/, /k/, /t/ /l/) katika kadi maneno, chati, mti maneno, au kifaa cha kidijitali) akishirikiana na wenzake; kutumia teknolojia (k.v. papaya) kusikiliza matamshi bora ya sauti lengwa; kusikiliza mwalimu au mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa. Unaweza kutamka sauti zipi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 2 Kusikilizana Kuzungumza Matamshi Bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutamka silabi za sauti lengwa ipasavyo. Mwanafunzi aelekezwe: kutamka sauti pamoja na mwalimu; kutamka sauti lengwa akishirikiana na wenzake; kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali (k.v. kinasasauti au rununu) akishirikiana na wenzake; kutamka silabi za sauti lengwa alizosikiliza akishirikiana na wenzake. Unaweza kutamka sauti zipi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 3 Kusikilizana Kuzungumza Matamshi Bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutamka ipasavyo maneno yenye silabi za sauti lengwa; kuchangamkia nafasi ya matamshi bora katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza maneno yenye sauti lengwa yakisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali; kutamka maneno ya sauti lengwa ifaavyo akishirikiana na wenzake; kutamkia mzazi au mlezi maneno yenye sauti lengwa ipasavyo. Unaweza kutamka sauti zipi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 4 Kusoma Kusoma kwa Ufasaha Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua sauti lengwa (/m/, /a/, /u/, /k/, /t/, /l/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa akishirikiana na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akishirikiana na wenzake. Je, ni maneno yapi unayojua kusoma?; Je, kwa nini ni muhimu kusoma kwa sauti inayosikika? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 1 Kusoma Kusoma kwa Ufasaha Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa, kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti akishirikiana na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 5 kwa dakika na kwa kuizingatia viakifishi) akishirikiana na wenzake. Je, ni maneno yapi unayojua kusoma?; Je, kwa nini ni muhimu kusoma kwa sauti inayosikika? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 2 Kusoma Kusoma kwa Ufasaha Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo; kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu au kifaa cha kidijtali akishirikiana na wenzake; kuzingatia matamshi bora, kasi ifaayo na kiwango kifaacho cha sauti. Je, ni maneno yapi unayojua kusoma?; Je, kwa nini ni muhimu kusoma kwa sauti inayosikika? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 3 Kuandika Hati Nadhifu Herufi kubwa Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua maumbo ya herufi kubwa. Mwanafunzi aelekezwe: kushirikiana na wenzake kutambua herufi kubwa kwenye kitabu, kadi maneno, chati au vifaa vya kidjitali; kutambua maumbo ya herufi kubwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kwa kutumia kifaa cha kidijitali. Je, ni herufi gani kubwa unazojua kuandika? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 4 Kuandika Hati Nadhifu Herufi kubwa Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika herufi kubwa ipasavyo kwa kuzingatia maumbo yake. Mwanafunzi aelekezwe: kushirikiana na wenzake katika kikundi kuandika herufi kubwa ipasavyo. Je, ni herufi gani kubwa unazojua kuandika? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
Showing 5 of 13 weeks of Term 1

Weeks 6–13 are in the full Term 1 document — KES 30 by M-Pesa.

Unlock Term 1

Term 2 — Grade 1 Kiswahili Activities scheme of work

13 weeks · first 5 free

Strands and sub-strands covered

Kuandika Hati Nadhifu · Matumizi ya Kikomo · Tahajia Imla · Kuandika maneno ipasavyo
Sarufi Umoja na Wingi wa Majina · Matumizi ya -angu na -etu · Matumizi ya -zuri na – baya · Ukanushaji
Kusikiliza na Kuzungumza Kifungu cha Hadithi · Matamshi Bora · Maagizo
Kusoma Kusoma kwa Ufahamu · Kusoma kwa Ufasaha
Grade 1 Kiswahili Activities Term 2 2026 scheme of work table
WikiSomoMadaMada NdogoMatokeo Maalum YanayotarajiwaMapendekezo ya Shughuli za UjifunzajiSwali DadisiRasilimali za UjifunzajiMbinu za TathminiTafakari
1 1 Kuandika Hati Nadhifu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua nafasi baina ya herufi katika maneno. Mwanafunzi aelekezwe: kuonyesha nafasi baina ya herufi zinazounda maneno kwenye kitabu, chati au chombo cha kidijitali. Je, kwa nini tunafaa kuandika kwa hati nadhifu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 2 Kuandika Hati Nadhifu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika maneno kwa kuunganisha silabi. Mwanafunzi aelekezwe: kushirikiana na wenzake katika vikundi kutambua nafasi baina ya herufi katika maneno. Je, kwa nini tunafaa kuandika kwa hati nadhifu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 3 Kuandika Hati Nadhifu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kuandika maneno kwa kuzingatia nafasi ifaayo baina ya herufi. Mwanafunzi aelekezwe: kuandika daftarini maneno kwa kuunganisha silabi akizingatia nafasi ifaayo baina ya herufi zinazounda maneno. Je, kwa nini tunafaa kuandika kwa hati nadhifu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 4 Sarufi Umoja na Wingi wa Majina Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua majina ya vitu katika mazingira yake katika umoja na wingi. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua majina ya vitu katika mazingira yake ya darasani kwa kutazama vitu halisi, picha au vifaa vya kidijitali; kuimba wimbo unaotaja vitu katika mazingira yake. Je, ni vitu gani vya darasani unavyoweza kutaja katika umoja na wingi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 1 Sarufi Umoja na Wingi wa Majina Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia majina ya vitu katika mazingira yake katika umoja na wingi. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma majina ya vitu vinavyopatikana katika mazingira yake katika umoja na wingi. Je, ni vitu gani vya darasani unavyoweza kutaja katika umoja na wingi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 2 Sarufi Umoja na Wingi wa Majina Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia kuzungumzia vitu katika mazingira yake katika umoja na wingi. Mwanafunzi aelekezwe: kujaza nafasi kwa kutumia majina ya vitu katika mazingira yake katika umoja na wingi; kumzungumzia mzazi au mlezi wake vitu katika mazingira ya nyumbani kwa kutumia majina yafaayo katika umoja na wingi. Je, ni vitu gani vya darasani unavyoweza kutaja katika umoja na wingi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 3 Kusikiliza na Kuzungumza Kifungu cha Hadithi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati wa suala lengwa katika kifungu. Mwanafunzi aelekezwe: kushirikiana na wengine kujadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Unatarajiwa kufanya nini unaposomew a hadithi?; Unawezaje kupata ujumbe katika kifungu cha hadithi unachosome wa? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 4 Kusikiliza na Kuzungumza Kifungu cha Hadithi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutunga sentensi sahihi akitumia msamiati uliotumiwa. Mwanafunzi aelekezwe: kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi; kuthibitisha utabiri wake baada ya kusikiliza hadithi. Unatarajiwa kufanya nini unaposomew a hadithi?; Unawezaje kupata ujumbe katika kifungu cha hadithi unachosome wa? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 1 Kusikiliza na Kuzungumza Kifungu cha Hadithi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusikiliza kifungu anachosomewa cha maneno kati ya 15-20 na kupata ujumbe. Mwanafunzi aelekezwe: kutunga sentensi akitumia msamiati uliotumika kwenye hadithi. Unatarajiwa kufanya nini unaposomew a hadithi?; Unawezaje kupata ujumbe katika kifungu cha hadithi unachosome wa? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 2 Kusikiliza na Kuzungumza Kifungu cha Hadithi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kujibu maswali kuhusu hadithi aliyosikiliza. Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza kifungu cha maneno kati ya 15-20 kikisomwa na mwalimu au kupitia vifaa vya kiteknolojia; kujibu maswali kutokana na kifungu. Unatarajiwa kufanya nini unaposomew a hadithi?; Unawezaje kupata ujumbe katika kifungu cha hadithi unachosome wa? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 3 Kusikiliza na Kuzungumza Kifungu cha Hadithi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia kusikiliza kifungu ili kujenga ari ya kusoma. Mwanafunzi aelekezwe: kujadiliane kuhusu hadithi waliyosomewa katika kikundi. Unatarajiwa kufanya nini unaposomew a hadithi?; Unawezaje kupata ujumbe katika kifungu cha hadithi unachosome wa? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 4 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. mimi, wenzangu) kutoka kwenye kadi maneno, chati, mti maneno, kapu maneno akishirikiana na wenzake; kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano. Ni mambo gani unayoweza kujifunza katika hadithi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 1 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu; kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi cha maneno 13- 16 kuhusu suala lengwa na kutambua msamiati wa suala lengwa akishirikiana na wenzake. Ni mambo gani unayoweza kujifunza katika hadithi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 2 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. Mwanafunzi aelekezwe: kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akishirikiana na wenzake; kumweleza mzazi au mlezi kuhusu ujumbe aliopata kutokana na kifungu alichosoma. Ni mambo gani unayoweza kujifunza katika hadithi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 3 Kuandika Matumizi ya Kikomo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua alama ya kikomo katika maandishi. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua alama ya kikomo (.) katika sentensi kitabuni, kwenye chati au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake. Alama gani zinazotumika katika kuandika sentensi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 4 Kuandika Matumizi ya Kikomo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika alama ya kikomo ifaavyo katika daftari; kutumia ipasavyo alama ya kikomo katika sentensi. Mwanafunzi aelekezwe: kuandika sentensi daftarini au kutumia kifaa cha kidijitali kisha aweke alama ya kikomo; kutumia alama ya kikomo ipasavyo mwishoni mwa sentensi akishirikiana na wenzake. Alama gani zinazotumika katika kuandika sentensi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 1 Kuandika Matumizi ya Kikomo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutumia alama ya kikomo ipasavyo katika sentensi. Mwanafunzi aelekezwe: kumwonyesha mzazi au mlezi alama ya kikomo na kuitumia ipasavyo katika sentensi. Alama gani zinazotumika katika kuandika sentensi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 2 Sarufi Matumizi ya -angu na -etu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua matumizi ya -angu na -etu katika miktadha mbalimbali. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua matumizi ya -angu na - etu kwa kurejelea vitu katika mazingira yake; kuigiza matumizi ya -angu na -etu akiwa na wenzake katika kikundi kwa kutumia vitu anavyomiliki k.v. kitabu changu – vitabu vyetu; rafiki yangu - marafiki zetu. Je, ni maneno gani unayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 3 Sarufi Matumizi ya -angu na -etu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia -angu na - etu katika mazungumzo kwa ufasaha ili kuimarisha mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma sentensi zinazotumia maneno - angu na –etu. Je, ni maneno gani unayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 4 Sarufi Matumizi ya -angu na -etu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutumia - angu na -etu katika mawasiliano ya kila siku. Mwanafunzi aelekezwe: kukamilisha sentensi zenye matumizi ya -angu na –etu; kujaza nafasi kwa kutumia -angu na -etu. Je, ni maneno gani unayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
Showing 5 of 13 weeks of Term 2

Weeks 6–13 are in the full Term 2 document — KES 30 by M-Pesa.

Unlock Term 2

Term 3 — Grade 1 Kiswahili Activities scheme of work

13 weeks · first 5 free

Strands and sub-strands covered

Sarufi Ukanushaji · Matumizi ya hiki na hivi · Matumizi ya maneno yanayoashiria vitendo · Vinyume vya Vitendo
Kusikiliza na Kuzungumza Matams hi bora · Mazungumzo · Mata mshi Bora (Vipin di 3)
Kusoma Kusoma kwa Ufasaha · Kusoma kwa Ufahamu
Kuandika Tahajia · Kifungu kutokana na Picha
Grade 1 Kiswahili Activities Term 3 2026 scheme of work table
WikiSomoMadaMada NdogoMatokeo Maalum YanayotarajiwaMapendekezo ya Shughuli za UjifunzajiSwali DadisiRasilimali za UjifunzajiMbinu za TathminiTafakari
1 1 Sarufi Ukanushaji Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja na wingi katika vifungu; kutumia ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja na wingi katika kifungu kwa usahihi. Mwanafunzi aelekezwe: kutenda vitendo atakavyoagizwa na mwalimu kuashiria nafsi ya kwanza umoja; kutenda vitendo vyake mwenyewe na kusema anachokifanya; kutambua ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja. Unafanya nini sasa?; Kama haukufanya mambo uliyotaja ungesemaje? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 2 Sarufi Ukanushaji Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia matumizi ya ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja na wingi katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kushirikiana na wenzake katika kikundi kukanusha sentensi katika nafsi ya kwanza umoja; kukamilisha sentensi zinazoashiria ukanusho wa nafsi ya kwanza umoja kwa kuelekezwa na mwalimu; kusikiliza sentensi kwa kutumia kifaa cha kidigitali zilizokanushwa akielekezwa na mwalimu. Unafanya nini sasa?; Kama haukufanya mambo uliyotaja ungesemaje? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 3 Kusikiliza na Kuzungumza Matams hi bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua sauti lengwa katika kadi maneno; kutamka sauti lengwa ipasavyo ili kuimarisha mazungumzo. Mwanafunzi aelekezwe: kushiriki katika kutambua sauti lengwa (/j/, /r/, /p/, /f/, /v/, /sh/) katika kadi maneno; kusikiliza mwalimu au mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa; kutamka sauti alizozisikiliza pamoja na mwalimu na mwishowe kutamka akishirikiana na wenzake. muhimu kutamka maneno ipasavyo? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 4 Kusikiliza na Kuzungumza Matams hi bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutamka silabi za sauti sauti lengwa ipasavyo. Mwanafunzi aelekezwe: kutumia vifaa vya kidijitali (k.v. papaya) kusikiliza matamshi bora ya sauti lengwa; kutamka sauti lengwa ashirikiana na wenzake; kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali k.v. kinasasauti na rununu. muhimu kutamka maneno ipasavyo? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 1 Kusikiliza na Kuzungumza Matams hi bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutamka ipasavyo maneno yenye silabi za sauti lengwa; kuchangamkia nafasi ya matamshi bora katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kutamka silabi alizozisikiliza ipasavyo ashirikiana na wenzake; kutamka ipasavyo maneno yenye silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake; kumwomba mzazi au mlezi kutumia kifaa cha kidijitali kama vile simu ili kusikiliza matamshi ya sauti lengwa. muhimu kutamka maneno ipasavyo? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 2 Kusoma Kusoma kwa Ufasaha Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua sauti lengwa (/j/, /r/, /p/, /f/, /v/, /sh/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa akishirikiana na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akishirikiana na wenzake. Matamshi bora na sauti inayosikika yana umuhimu gani katika kusoma? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 3 Kusoma Kusoma kwa Ufasaha Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti akishirikiana na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 25 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi) akishirikiana na wenzake. Matamshi bora na sauti inayosikika yana umuhimu gani katika kusoma? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 4 Kusoma Kusoma kwa Ufasaha Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo; kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijtali, nk akishirikiana na wenzake, akizingatia matamshi bora, kasi ifaayo na kwa sauti inayosikika; kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi bora, kasi ifaayo na kwa sauti inayosikika. Matamshi bora na sauti inayosikika yana umuhimu gani katika kusoma? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 1 Kuandika Tahajia Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua tahajia sahihi katika sentensi. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua sentensi zinazohusu suala lengwa zenye tahajia sahihi kwa kutumia nyenzo kama vile:kadi za majina,mti maneno,kapu maneno,chati,kifungu au kifaa cha kidigitali; kusoma sentensi zenye tahajia sahihi kuhusu suala lengwa; kunakili sentensi zenye tahajia sahihi kuhusu suala lengwa kwenye daftari. Kwa nini ni muhimu kuyaandika maneno na sentensi kwa usahihi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 2 Kuandika Tahajia Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika sentensi tatu kuhusu suala lengwa akizingatia tahajia sahihi. Mwanafunzi aelekezwe: kutunga sentensi tatu sahihi kuhusu suala lengwa akishirikiana na wenzake; kuandika sentensi alizotunga kwa kuzingatia tahajia sahihi. Kwa nini ni muhimu kuyaandika maneno na sentensi kwa usahihi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 3 Kuandika Tahajia Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia matumizi ya tahajia sahihi katika uandishi wa sentensi. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma sentensi alizoandika pamoja na wenzake katika kikundi kisha wenzake wazitolee maoni; kusahihisha sentensi alizoandika kwa kuzingatia tahajia; Kumwonyesha mzazi au mlezi sentensi sahihi alizoandika ili apate maoni yake. Kwa nini ni muhimu kuyaandika maneno na sentensi kwa usahihi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 4 Sarufi Matumizi ya hiki na hivi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua maneno hiki na hivi katika vifungu. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua hiki na hivi kwa kutumia nyenzo halisi, kadi za majina, kapu maneno au chati; kusikiliza kifungu kinachohusu matumizi ya hiki na hivi katika kifaa cha kidijitali. Unajua majina yapi ya vitu vinavyoweza kuashiriwa kwa kutumia maneno hiki na hivi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 1 Sarufi Matumizi ya hiki na hivi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma vifungu vinavyojumuisha maneno hiki na hivi ili kuonyeshea ifaavyo; kutumia maneno hiki na hivi kuonyeshea vitu katika mazingira yake. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma vifungu vinavyojumuisha hiki na hivi kisha abainishe matumizi ya hiki na hivi; kuonyesha vitu mbalimbali kama vile vyakula na kuvitungia sentensi katika kikundi k.m. chakula hiki – vyakula hivi; kumtungia mwenzake sentensi katika kikundi kwa kutumia hiki na hivi. Unajua majina yapi ya vitu vinavyoweza kuashiriwa kwa kutumia maneno hiki na hivi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 2 Sarufi Matumizi ya hiki na hivi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia matumizi ya hiki na hivi katika mawasiliano ya kila siku. Mwanafunzi aelekezwe: kutoa maoni kuhusu sentensi zilizotungwa na wenzake; kukamilisha vifungu vyenye mapengo kwa kutumia hiki na hivi wakiwa wawiliwawili k.m. chakula (hiki, hii), vyakula (hivi, hizi). Unajua majina yapi ya vitu vinavyoweza kuashiriwa kwa kutumia maneno hiki na hivi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 3 Kusikiliza na Kuzungumza Mazungumzo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua suala lengwa ili azungumze kulihusu. Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza mazungumzo mafupi kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali; kutazama video kuhusu mazungumzo yanayohusisha watoto. kuzungumza kuhusu mambo gani ukiwa na wenzako?; Unazingatia mambo gani unapozungumz a mbele ya wenzako? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 4 Kusikiliza na Kuzungumza Mazungumzo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuzungumza kuhusu suala lengwa akizingatia matamshi bora na ishara zifaazo. Mwanafunzi aelekezwe: kuwasilisha mazungumzo yake kwa wenzake katika kikundi kwa kuzingatia matamshi bora na ishara zifaazo; kujieleza kwa ujasiri, kasi ifaayo na sauti inayosikika. kuzungumza kuhusu mambo gani ukiwa na wenzako?; Unazingatia mambo gani unapozungumz a mbele ya wenzako? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 1 Kusikiliza na Kuzungumza Mazungumzo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kujieleza kwa ujasiri, kasi ifaayo na sauti inayosikika. Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza mazungumzo ya wenzake na kutoa maoni. kuzungumza kuhusu mambo gani ukiwa na wenzako?; Unazingatia mambo gani unapozungumz a mbele ya wenzako? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 2 Kusikiliza na Kuzungumza Mazungumzo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia mazungumzo na matamshi bora katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kushiriki katika mazungumzo kwa kuzingatia maagizo atakayopewa na mwalimu; kujieleza kwa ujasiri ili kufanikisha mawasiliano akiwa na mzazi au mlezi jikoni. kuzungumza kuhusu mambo gani ukiwa na wenzako?; Unazingatia mambo gani unapozungumz a mbele ya wenzako? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 3 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu; kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi cha maneno 23-30 na kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v. kisu, kikombe, meko, sahani ) akishirikiana na wenzake; kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano; kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akishirikiana na wenzake; kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha kwenye kifungu akishirikiana na wenzake. Je, tunaweza kujifunza mambo yapi kutokana na hadithi mbalimbali? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 4 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu; kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu; kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. Mwanafunzi aelekezwe: kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma; kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu akishirikiana na wenzake; kumsomea mzazi au mlezi kifungu kuhusu suala lengwa. Je, tunaweza kujifunza mambo yapi kutokana na hadithi mbalimbali? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
Showing 5 of 13 weeks of Term 3

Weeks 6–13 are in the full Term 3 document — KES 30 by M-Pesa.

Unlock Term 3

More Grade 1 schemes of work

Questions about this scheme of work

Does this page cover all the terms?

It carries Terms 1, 2 and 3 of 2026 — every term published for Grade 1 Kiswahili Activities so far. Each term has its own week-by-week table and free preview, and a new term joins this same page when it goes live.

How do I download a whole term as a PDF?

The first 5 weeks of each term are free to read on this page. Open the term you need, pay KES 30 by M-Pesa, then use Print / Save PDF — the sheet is laid out for A4 landscape.

Can I adapt it for my own school calendar?

Every scheme is generated from the curriculum taxonomy, so you can rebuild it with your own week count, strands and pacing on the Generate screen and keep the result as your own document.