Grade 2 Kiswahili Activities Scheme of Work — Terms 1, 2 and 3, 2026
A CBE Kiswahili Activities scheme of work for Grade 2 covering Terms 1, 2 and 3 2026: strands and sub-strands mapped week by week with specific learning outcomes, key inquiry questions, suggested learning experiences, resources and assessment methods.
- Level
- Grade 2
- Subject
- Kiswahili Activities
- Terms
- Terms 1, 2 and 3
- Year
- 2026
- Weeks
- 39
Term 1 — Grade 2 Kiswahili Activities scheme of work
13 weeks · first 5 freeStrands and sub-strands covered
| Wiki | Somo | Mada | Mada Ndogo | Matokeo Maalum Yanayotarajiwa | Mapendekezo ya Shughuli za Ujifunzaji | Swali Dadisi | Rasilimali za Ujifunzaji | Mbinu za Tathmini | Tafakari |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | Kusikiliza na Kuzungumza | Maamkuzi na Maagano | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua maamkuzi na maagano ya nyakati za siku. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi mbalimbali ya nyakati za siku (habari ya asubuhi, habari ya mchana, Habari ya jioni, siku njema) kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro, picha au vifaa vya kidijitali akishirikiana na wenzake. | Tunaamkuana vipi wakati wa asubuhi, mchana na jioni? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 2 | Kusikiliza na Kuzungumza | Maamkuzi na Maagano | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuamkua na kuitikia maamkuzi na maagano ya nyakati za siku. | Mwanafunzi aelekezwe: kutazama picha za watu wakisalimiana na kuagana akishirikiana na wenzake kujadili picha hizo; kutazama video inayoonyesha watu wakitumia maamkuzi na maagano ya nyakati za siku. | Tunaamkuana vipi wakati wa asubuhi, mchana na jioni? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 3 | Kusikiliza na Kuzungumza | Maamkuzi na Maagano | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kuamkua na kuagana ili kujenga mshikamano wa kijamii. | Mwanafunzi aelekezwe: kuigiza na mwenzake maamkuzi na maagano mbalimbali. | Tunaamkuana vipi wakati wa asubuhi, mchana na jioni? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 4 | Kusoma Ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufikia mwisho wa mada; kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi cha maneno 31 - 34 na kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v shule, mwalimu, mwanafunzi, gwaride, afisi, darasa, , uwanja, gredi, dawati, kifutio, n.k) akiwa peke yake, au na wenzake; kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano; kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akiwa na wenzake. | Kusoma kifungu ili ufahamuujumbe unafanya nini? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | ||
| 2 | 1 | Kusoma Ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha; kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. | Mwanafunzi aelekezwe: kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha kwenye kifungu akishirikiana na wenzake; kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake. | Kusoma kifungu ili ufahamuujumbe unafanya nini? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | ||
| 2 | 2 | Kusoma Ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu; kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. | Mwanafunzi aelekezwe: kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma; kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu akishirikiana na wenzake; kumsomea mzazi au mlezi kifungu kuhusu suala lengwa. | Kusoma kifungu ili ufahamuujumbe unafanya nini? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | ||
| 2 | 3 | Sarufi | Hati nadhifu: Sentensi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua hati nadhifu katika sentensi; kuandika sentensi akizingatia hati nadhifu. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua hati nadhifu kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake; kujadili na wenzake kuhusu hati nadhifu kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali; kuandika sentensi fupi kuhusu suala lengwa akizingatia: (maumbo yanayofaa, kutoacha nafasi baina ya herufi katika neno, kuacha nafasi kati ya neno la lingine); kuwasilisha darasani sentensi zake ili wenzake wamtolee maoni. | Je, ni mambo gani unayozingatia wakati wa kuandika? unaloweza kutumia kuwataja wenzako bila kutaja majina yao? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 4 | Sarufi | Hati nadhifu: Sentensi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kuandika akizingatia hati nadhifu. Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:; kutambua wewe na nyinyi katika sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kumwandikia mzazi au mlezi sentensi fupi kuhusu suala lengwa akizingatia hati nadhifu. Mwanafunzi aelekezwe:; kusikiliza kifungu au wimbo unaohusu nafsi ya pili (wewe na nyinyi), kutoka kwa mwalimu au kifaa cha kidijitali; kusoma vifungu vilivyo na nafsi ya pili (wewe na nyinyi) akishirikiana na wenzake. | Je, ni mambo gani unayozingatia wakati wa kuandika? unaloweza kutumia kuwataja wenzako bila kutaja majina yao? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 1 | Sarufi | Hati nadhifu: Sentensi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia wewe na nyinyi ipasavyo katika sentensi; kufurahia kutumia wewe na nyinyi katika mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kutumia nafsi ya pili (wewe na nyinyi) umoja na wingi kwa kuigiza mazungumzo na wenzake katika kikundi (k.m: Wewe unasoma - Nyinyi mnasoma; Wewe ulienda shuleni - Nyinyi mlienda shuleni.); kujaza nafasi kwa kutumia wewe na nyinyi; kutaja zoezi la nafsi ya pili kwenye tarakilishi kwa kuburura majibu sahihi na kujaza nafasi akielekezwa na mwalimu; kuwasiliana na mzazi au mlezi wake kwa kutumia nafsi ya pili (wewe na nyinyi). | Je, ni mambo gani unayozingatia wakati wa kuandika? unaloweza kutumia kuwataja wenzako bila kutaja majina yao? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 2 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora: Sauti /p/, /f/, /v/ | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua silabi za sauti lengwa k a t i k a m aandishi; k u t a m k a ipasavyo silabi za sauti lengwa katika maandishi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua silabi kwenye maneno yenye sauti lengwa (/p/, /f/, /v/) katika sentensi akiwa na wenzake; kusikiliza silabi lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwaalikwa au kifaa cha kidijitali; kutamka silabi za sauti lengwa akiwa peke yake au na wenzake. | Je, kwa nini ni vizuri kutamka maneno vizuri tunapozungumza? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 3 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora: Sauti /p/, /f/, /v/ | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutamka maneno mepesi yanayotokana na sauti lengwa katika maandishi. | Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza maneno yenye sauti lengwa yakitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijitali; kutamka maneno yenye sauti lengwa yaliyotamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali akiwa peke yake, au na wenzake akizingatia matamshi bora; kusikiliza sentensi zenye sauti lengwa zikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali; kusoma sentensi za sauti lengwa zilizosomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake kwa kuzingatia matamshi bora. | Je, kwa nini ni vizuri kutamka maneno vizuri tunapozungumza? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 4 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora: Sauti /p/, /f/, /v/ | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma ipasavyo sentensi nyepesi zenye sauti lengwa kwa matamshi bora; kuchangamkia usomaji bora wa maneno yanayotumia sauti lengwa katika mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali akitamka sentensi za sauti lengwa na kuwatumia wenzake ili watathmini; kukariri mashairi na nyimbo katika tamasha za mziki au kwenye hafla shuleni ili kuboresha matamshi kwa kusaidiwa na mwalimu; kuwasiliana na mzazi au mlezi wake kwa kutumia maneno yenye sauti lengwa. | Je, kwa nini ni vizuri kutamka maneno vizuri tunapozungumza? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua maneno yenye sauti lengwa (/p/, /f/, /v/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa akiwa peke yake, au na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kuhusu haki za mtoto (k.v. upendo, mavazi, makao, chakula) kwa kuzingatia matamshi bora akishirikiana na wenzake. | Je, ni mambo ganiunavyozingatia ili kusoma kwa ufasaha? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 2 | Kusoma | Kusoma kwa ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika akiwa peke yake, au na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 33 kwa dakika) na kwa kuzingatia viakifishi; kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo akiwa peke yake, au na wenzake. | Je, ni mambo ganiunavyozingatia ili kusoma kwa ufasaha? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 3 | Kusoma | Kusoma kwa ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo; kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijtali akiwa peke yake, au na wenzake, akizingatia sauti inayosikika, matamshi bora, kasi ifaayo na ishara zinazofaa; kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi na ishara zifaazo. | Je, ni mambo ganiunavyozingatia ili kusoma kwa ufasaha? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 4 | Kuandika | Hati Nadhifu: Herufi Kubwa | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua mpangilio ufaao wa herufi kubwa katika matini. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua mpangilio ufaao wa herufi kubwa katika matini (k.v. kadi maneno, mti maneno, picha, chati, kitabu, kifaa cha kidijitali, n.k.) akiwa peke yake, au na wenzake; kunakili maneno na sentensi kuhusu mada lengwa (k.v upendo, kupata elimu, chakula, mavazi, makazi) kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa. | Je herufi kubwa huwa sifa gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 1 | Kuandika | Hati Nadhifu: Herufi Kubwa | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika herufi kubwa ipasavyo katika maneno na sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutunga na kuandika sentensi fupi akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa. | Je herufi kubwa huwa sifa gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 2 | Kuandika | Hati Nadhifu: Herufi Kubwa | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutumia herufi kubwa ipasavyo katika maneno na sentensi ili kuboresha mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kushirikiana na wenzake kutathmini sentensi walizotunga; kumwandikia mzazi au mlezi maneno kwa kutumia mpangilio ufaao wa herufi kubwa na hati nadhifu. | Je herufi kubwa huwa sifa gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 3 | Sarufi | Umoja na Wingi wa Vifungu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi. | Mwanafunzi aelekezwe: wingi; kutambua vifungu vya maneno mawili vifungu katika umoja na wingi (k.m. haki yangu - na haki zetu; mtoto wangu - watoto wetu; nguo yangu - nguo zetu; nyumba yangu - nyumba zetu) katika matini mbalimbali, kadi maneno, mti maneno, vifaa vya kidijitali n.k. | wa huwa sifa gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 4 | Sarufi | Umoja na Wingi wa Vifungu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi. | Mwanafunzi aelekezwe: kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake; kujaza nafasi kwa kukamilisha vifungu vya maneno katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake. | wa huwa sifa gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review |
Weeks 6–13 are in the full Term 1 document — KES 30 by M-Pesa.
Term 2 — Grade 2 Kiswahili Activities scheme of work
13 weeks · first 5 freeStrands and sub-strands covered
| Wiki | Somo | Mada | Mada Ndogo | Matokeo Maalum Yanayotarajiwa | Mapendekezo ya Shughuli za Ujifunzaji | Swali Dadisi | Rasilimali za Ujifunzaji | Mbinu za Tathmini | Tafakari |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua sauti lengwa katika matini mbalimbali; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo; kufurahia kusoma kifungu ipasvyo ili kufanikisha mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua sauti /ch/ (k.m chakula, changa, chuma, uchumi, chaki, chifu) na /dh/ (k.m dhahabu, fedha) katika kadi maneno, mti maneno au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, matamshi bora akishirikiana na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, sauti inayosikika akishirikiana na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, kasi ifaayo (maneno 36 kwa dakika na kwa kuizingatia viakifishi) akishirikiana na wenzake; kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijtali, nk akishirikiana na wenzake na kuzingatia sauti inayosikika, matamshi bora, kasi na ishara zifaazo; kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijtali, nk akishirikiana na wenzake akizingatia sauti inayosikika, matamshi bora, kasi na ishara zifaazo. | Je, ni mambo gani unazingatia kusoma kwa ufasaha? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 2 | Kuandika | Nafasi katika maandishi. | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi akishirikiana na wenzake; kuwaonyeshe wenzake nafasi kati ya maneno. | Je, kwa nini tunatumia nafasi kati ya maneno katika sentensi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 3 | Kuandika | Nafasi katika maandishi. | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika sentensi akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi kwa maandishi. | Mwanafunzi aelekezwe: katika sentensi akishirikiana na wenzake, kuandika sentensi kuhusu suala lengwa akizingatia nafasi kati ya maneno; kuwaonyesha wenzake sentensi alizoziandika ili wazitolee maoni. | Je, kwa nini tunatumia nafasi kati ya maneno katika sentensi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 4 | Kuandika | Nafasi katika maandishi. | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kuandika akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutumia kifaa cha kidijitali; kuandika sentensi akizingatia nafasi kati ya maneno. | Je, kwa nini tunatumia nafasi kati ya maneno katika sentensi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 1 | Sarufi | Umoja na wingi wa vifungu vya maneno | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi (k.m basi hili - mabasi haya; safari hii - safari hizi; ndege hii - ndege hizi; baiskeli yangu - baiskeli zetu); kusoma vifungu vifungu vya maneno katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake, kutoka kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali akizingatia suala lengwa. | Je, unapozungumzia umoja na wingi wa maneno au sentensi unamaanisha nini? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 2 | Sarufi | Umoja na wingi wa vifungu vya maneno | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma vifungu vya maneno katika umoja na wingi; kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno. | Mwanafunzi aelekezwe: kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno akishirikiana na wenzake. | Je, unapozungumzia umoja na wingi wa maneno au sentensi unamaanisha nini? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 3 | Sarufi | Umoja na wingi wa vifungu vya maneno | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno katika umoja na wingi. | Mwanafunzi aelekezwe: kujaza nafasi zilizo wazi ili kukamilisha vifungu vya maneno katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake; kushiriki katika mchezo wa kupanga kadi za vifungu vya maneno akiambatanisha umoja na wingi. | Je, unapozungumzia umoja na wingi wa maneno au sentensi unamaanisha nini? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 4 | Kusikiliza na Kuzungumza | Hadithi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua picha kuhusu suala lengwa; kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika hadithi aliyoisikiliza. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua picha kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akishirikiana na wenzake; kujadili picha kutoka kwenye kitabu, chati, vya kidijitali akishirikiana na wenzake; kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi. | Kusikiliza hadithi kwa makini kuna umuhimu gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 1 | Kusikiliza na Kuzungumza | Hadithi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kujibu maswali kuhusu hadithi aliyoisikiliza. | Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza ufahamu kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vyombo vya kidijitali; kutambua msamiati uliotumika katika ufahamu aliousikiliza akishirikiana na wenzake. | Kusikiliza hadithi kwa makini kuna umuhimu gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 2 | Kusikiliza na Kuzungumza | Hadithi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kueleza ujumbe wa hadithi aliyoisikiliza; kufurahia ufahamu wa kusikiliza. | Mwanafunzi aelekezwe: kujibu maswali yanayohusiana na ufahamu aliousikiliza; kueleza maudhui ya ufahamu aliousikiliza akishirikiana na wenzake; kumsimulie mzazi au mlezi wake hadithi aliyoisikiliza kuhusu suala lengwa naye mzazi kumtolea maoni. | Kusikiliza hadithi kwa makini kuna umuhimu gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 3 | Kusoma | Kusoma kwa ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. | Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza au kutazama nyimbo kuhusu suala lengwa kwenye kifaa cha kidijitali; kutaja masuala ya suala lengwa akishirikiana na wenzake; kuimba nyimbo kuhusu suala lengwa akishirikiana na wenzake. | Je, ni mambo gani yanayokusaidia kupata ujumbe kwenye vifungu vya ufahamu? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 4 | Kusoma | Kusoma kwa ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha; kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. | Mwanafunzi aelekezwe: kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha kwenye kifungu akishirikiana na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno 39- 42 na kutambua msamiati wa suala lengwa akishirikiana na wenzake; kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano. | Je, ni mambo gani yanayokusaidia kupata ujumbe kwenye vifungu vya ufahamu? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: e) kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. | Mwanafunzi aelekezwe: kueleza ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akishirikiana na wenzake; kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma; kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu akishirikiana na wenzake. | Je, ni mambo gani yanayokusaidia kupata ujumbe kwenye vifungu vya ufahamu? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 2 | Kuandika | Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua kiulizi katika maandishi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua kiulizi katika maandishi kitabuni, kwenye kadi maneno, mti maneno na kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake; kuandika kiulizi ipasavyo akizingatia umbo lake. | Je, alama ya kiulizi hutumika vipi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 3 | Kuandika | Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika kiulizi ipasavyo akizingatia umbo lake; kutumia kiulizi ipasavyo katika sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutumia kiulizi ipasavyo katika sentensi; kutazama matumizi ya kiulizi kwenye vifaa vya kidijitali; kuandika kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali. | Je, alama ya kiulizi hutumika vipi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 4 | Kuandika | Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutumia kiulizi katika maandishi ya kila siku. | Mwanafunzi aelekezwe: kuandika sentensi sahili akitumia kiulizi ipasavyo; kumwonyesha mzazi au mlezi sentensi zenye matumizi yafaayo ya kiulizi alizotunga ili ampe maoni yake. | Je, alama ya kiulizi hutumika vipi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 1 | Sarufi | Matumizi ya -ako na -enu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua matumizi yafaayo ya -ako na -enu katika kifungu. | Mwanafunzi aelekezwe: kusilikiliza kifungu au wimbo unaohusu matumizi ya –ako na –enu katika kifaa cha kidijitali; kutambua matumizi ya -ako na -enu katika kadi za maneno, mti maneno, kapu maneno na vifaa halisi kwa kusaidiwa na mwalimu. | Je,-ako na - enu hutumiwa wakati gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 2 | Sarufi | Matumizi ya -ako na -enu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia -ako na - enu ipasavyo katika sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kumtungia mwenzake sentensi zenye matumizi ya -ako na –enu; kusikiliza sentensi zinazotungwa na wenzake zenye matumizi ya -ako na - enu na kuzitolea maoni; mwanafunzi awasilishie sentensi zenye kutumia maneno -ako na –enu. | Je,-ako na - enu hutumiwa wakati gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 3 | Sarufi | Matumizi ya -ako na -enu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuthamini matumizi ya -ako na -enu katika mawasiliano ya kila siku. | Mwanafunzi aelekezwe: kuandika sentensi zenye -ako na –enu; kujaza nafasi kwa kutumia -ako na -enu kwa kusaidiwa na mwalimu. | Je,-ako na - enu hutumiwa wakati gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 4 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua silabi za sauti lengwa ipasavyo katika maneno na sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua silabi za sauti lengwa (/ny/ na /ng/) katika matini mbalimbali kama vile kadi za maneno, chati, mti maneno, au kifaa cha kidijitali; kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijitali akizingatia suala lengwa; kutamka maneno aliyosikiliza pamoja na mwalimu, kisha kuyatamka akishirikiana na mwenzake kuhusu suala lengwa. | Je, unajua kutamka maneno yapi yenye sauti /ny/ na /ng/? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review |
Weeks 6–13 are in the full Term 2 document — KES 30 by M-Pesa.
Term 3 — Grade 2 Kiswahili Activities scheme of work
13 weeks · first 5 freeStrands and sub-strands covered
| Wiki | Somo | Mada | Mada Ndogo | Matokeo Maalum Yanayotarajiwa | Mapendekezo ya Shughuli za Ujifunzaji | Swali Dadisi | Rasilimali za Ujifunzaji | Mbinu za Tathmini | Tafakari |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | Sarufi Kusikiliza na Kuzungumza | Uhariri | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua vipengele vya kuhariri katika maandishi; kuhariri maandishi yake baada ya kuyaandika; kufurahia kuhariri maandishi baada ya kuyaandika ili kuimarisha mawasiliano. Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze:; kutambua ukanusho wa nafsi ya pili, umoja na wingi katika sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua vipengele vya kuhariri katika maandishi kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake; kuandika kifungu cha maneno mawili au sentensi fupi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali; kujadiliana na wenzake kuhusu vipengele vya kuzingatia katika uhariri; kuipitia kazi yake baada ya kuiandika ili kuhariri tahajia, nafasi baina ya sauti na maneno pamoja na viakifishi kuhusu suala lengwa; kushirikiana na wenzake kuhariri kazi aliyoandika; kumwonyesha mzazi au mlezi kifungu alichohariri ili ampe maoni yake. Mwanafunzi aelekezwe:; kutambua ukanusho wa nafsi ya pili, umoja na wingi, katika kadi maneno, mti maneno kuhusu suala lengwa; kusikiliza kifungu au wimbo; kuhusu ukanusho wa nafsi ya pili umoja na wingi kwenye kifaa cha kidijitali; kushirikiana na wenzake katika kikundi kukanusha sentensi katika nafsi ya pili, umoja na wingi kuhusu suala lengwa, kwa mfano: wewe - ulisoma – wewe hukusoma. | Je, kwa nini ni vizuri kusoma kazi uliyoandika na kuirekebisha? Ukanushaji wa sentensi katika umonja na wingi unahusu nini? maneno gani yenye sauti /sh/ na /th/? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 2 | Sarufi Kusikiliza na Kuzungumza | Uhariri | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia ukanusho wa nafsi ya pili, umoja na wingi katika sentensi kwa usahihi; kuchangamkia matumizi ya ukanusho wa nafsi ya pili, umoja na wingi, katika mawasiliano ya kila siku. wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:; kutambua maneno na sentensi zenye sauti lengwa; kutamka maneno na sentensi za sauti lengwa kwa ufasaha; kufurahia matamshi bora katika mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kutunga sentensi zinazoashiria ukanusho wa nafsi ya pili umoja na wingi kuusu suala lengwa kwa kusaidiwa na mwalimu; kufanya zoezi la kujaza nafasi kwa kutumia nafsi ya pili, umoja na wingi, kwenye kifaa cha kidijitali; kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizokanusha katika nafsi ya pili, umoja na wingi ili ampe maoni; kutambua silabi za sauti lengwa (/sh/, /th/) katika matini mbalimbali kama vile kadi maneno, chati, mti maneno, au kifaa cha kidijitali; kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali; kutamka maneno aliyosikiliza pamoja na mwalimu na mwishowe kutamka akishirikiana na wenzake kuhusu suala lengwa; kuambatanisha silabi ili kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa; kusikiliza kwa makini sentensi zenye sauti lengwa na zinazolenga suala lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali na kuzitambua; kusikiliza kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa na kutambua sauti lengwa; asimulie kifungu cha hadithi kinacholenga sauti lengwa na suala lengwa; kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno na sentensi zenye sauti lengwa na kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi bora. | Je, kwa nini ni vizuri kusoma kazi uliyoandika na kuirekebisha? Ukanushaji wa sentensi katika umonja na wingi unahusu nini? maneno gani yenye sauti /sh/ na /th/? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 3 | Kusoma | Kusoma kwa ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua sauti /sh/ na /th/ katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa akishirikiana na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwak wa kuzingatia matamshi bora akishirikiana na wenzake kuhusu suala lengwa. | Je, unajua kusoma maneno gani yenye sauti /sh/ na /th/? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 4 | Kusoma | Kusoma kwa ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika akishirikiana na wenzake kuhusu suala lengwa; kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kw kuzingatia kasi ifaayo (maneno 42 kwa dakika na kwa kuizingatia viakifishi) akishirikiana na wenzake. | Je, unajua kusoma maneno gani yenye sauti /sh/ na /th/? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo; kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo akishirikiana na wenzake; kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijtali, n.k. akishirikiana na wenzake akizingatia sauti inayosikika, matamshi bora, kasi na ishara zifaazo. | Je, unajua kusoma maneno gani yenye sauti /sh/ na /th/? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 2 | Kuandika | Tahajia | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua tahajia sahihi za maneno katika sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua tahajia sahihi za maneno katika sentensi kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali; kushirikiana na wenzake kujadili kuhusu tahajia sahihi ya maneno kwenye kifungu kitabuni au kifaa cha kidijitali. | Je, kwa nini ni vizuri kuandika maneno kwa kuzingatia tahajia ifaayo? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 3 | Kuandika | Tahajia | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika sentensi akizingatia tahajia sahihi za maneno. | Mwanafunzi aelekezwe: kuandika sentensi kuhusu suala lengwa akizingatia tahajia sahihi za maneno; kurekebisha sentensi akizingatia tahajia sahihi. | Je, kwa nini ni vizuri kuandika maneno kwa kuzingatia tahajia ifaayo? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 4 | Kuandika | Tahajia | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi. | Mwanafunzi aelekezwe: kujaza nafasi kwenye kifungu akizingatia tahajia sahihi kinachozungumzia suala lengwa; kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga akizingatia tahajia sahihi ili ampe maoni. | Je, kwa nini ni vizuri kuandika maneno kwa kuzingatia tahajia ifaayo? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 1 | Sarufi | Matumizi ya huu na hii | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua huu na hii katika vifungu. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua maneno huu na hii kwa kutumia nyenzo kama vile kadi maneno, mti maneno, chati au kifaa cha kidijitali; kusoma vifungu vinavyojumuisha huu na hii. | Ni vitu gani unavyoweza kurejelea kwa kutumia maneno huu na hii? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 2 | Sarufi | Matumizi ya huu na hii | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia huu na hii kutajia vitu katika mazingira yake. | Mwanafunzi aelekezwe: kuonyesha vitu mbalimbali kuhusu suala lengwa kama vile miti na kuvitungia sentensi katika kikundi k.m Mti huu – miti hii. | Ni vitu gani unavyoweza kurejelea kwa kutumia maneno huu na hii? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 3 | Sarufi | Matumizi ya huu na hii | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia matumizi ya huu na hii katika mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kukamilisha vifungu vyenye nafasi kwa kutumia huu na hii akishirikiana na wenzake; kutunga sentensi akitumia huu na hii na zinazolenga suala lengwa, kuandika vifungu akitumia huu na hii kutokana na picha. | Ni vitu gani unavyoweza kurejelea kwa kutumia maneno huu na hii? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 4 | Kusikiliza na Mazungumzo Kuzungumza ya hapo | papo kwa | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuonyesha ufahamu wa suala inalozungumziwa. | Mwanafunzi aelekezwe: kuonyesha ufahamu wa suala lengwa kwa kulieleza ipasavyo; kusikiliza mgeni mwalikwa au mwalimu, wakizungumza. | Tunazingatia mambo gani tunapozungumza papo kwa hapo? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 1 | Kusikiliza na Mazungumzo Kuzungumza ya hapo | papo kwa | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuzingatia matamshi bora anapozungumza. | Mwanafunzi aelekezwe: kushirikiana na wenzake kusikiliza mazungumzo kwenye kifaa cha kidijitali kuhusu suala lengwa; kuzungumza kwa kutamka ipasavyo sauti na maneno. | Tunazingatia mambo gani tunapozungumza papo kwa hapo? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 2 | Kusikiliza na Mazungumzo Kuzungumza ya hapo | papo kwa | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kujieleza kwa ufasaha wakati wa kuzungumza, kutumia viziada lugha ipasavyo wakati wa kuzungumza. | Mwanafunzi aelekezwe: kujieleza kwa ufasaha anapozungumza kwa kutumia lugha inayoeleweka kuhusu suala lengwa, kutumia sauti ipasavyo kwa kuzingatia sauti inayosikika, kasi ya kuzungumza, toni pamoja na udhibiti wa upumuaji na viungo vya kutamka. | Tunazingatia mambo gani tunapozungumza papo kwa hapo? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 3 | Kusikiliza na Mazungumzo Kuzungumza ya hapo | papo kwa | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutoa mazungumzo ya papo kwa papo ili kujenga ufasaha wa kuzungumza. | Mwanafunzi aelekezwe: kuzungumza akitumia ipasavyo viziada lugha kama vile muktadha wa mazungumzo, ishara (za uso, mikono) mtuo, mkao wa mwili, utazamaji hadhira kuhusu suala lengwa; kushirikiana na wenzake kuwasilisha mazungumzo ya papo kwa papo wakiwa na wenzake, au wakati wa mazungumzo ya hadhara katika tamasha za muziki. | Tunazingatia mambo gani tunapozungumza papo kwa hapo? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 4 | Kusoma | Kusoma kwa ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu; kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha. | Mwanafunzi aelekezwe: kutazama na wenzake picha au michoro ya hospitali kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali; kuimba nyimbo kuhusu suala lengwa akishirikiana na wenzake; kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha kwenye kifungu akiwa peke yake, au na wenzake. | Je, ukitaka kupata ujumbe kwenye kifungu unazingatia nini? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. | Mwanafunzi aelekezwe: kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akishirikiana na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno 47 - 50 na kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v hospitali, tibu, daktari, mgonjwa, sindano, dawa, ugonjwa, afya, wodi, machela, bendeji) akishirikiana na wenzake. | Je, ukitaka kupata ujumbe kwenye kifungu unazingatia nini? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 2 | Kusoma | Kusoma kwa ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu; kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. | Mwanafunzi aelekezwe: kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu kuhusu suala lengwa akishirikiana na wenzake; kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma; kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu akishirikiana na wenzake. | Je, ukitaka kupata ujumbe kwenye kifungu unazingatia nini? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 3 | Kuandika | Kuandika Kifungu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua suala la kuandikia kifungu. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua suala la kuandikia kwa kulijadiliana na wenzake darasani; kutazama picha kuhusu suala lengwa ili kupata habari za kuandikia. | Je, unaongozwa na mambo gani unapotaka kuandika kifungu? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 4 | Kuandika | Kuandika Kifungu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika kifungu kifupi kutokana na mazingira yake. | Mwanafunzi aelekezwe: kuwaelekeza wenzake kuhusu atakachoandikia wakiwa au na wenzake; kusikiliza wenzake wakieleza kuhusu jambo au suala watakaloandikia kuhusu suala lengwa; kuandika kifungu kifupi cha sentensi moja au zaidi chenye maelezo yanayoeleweka kuhusu suala lengwa. | Je, unaongozwa na mambo gani unapotaka kuandika kifungu? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review |
Weeks 6–13 are in the full Term 3 document — KES 30 by M-Pesa.
More Grade 2 schemes of work
Questions about this scheme of work
Does this page cover all the terms?
It carries Terms 1, 2 and 3 of 2026 — every term published for Grade 2 Kiswahili Activities so far. Each term has its own week-by-week table and free preview, and a new term joins this same page when it goes live.
How do I download a whole term as a PDF?
The first 5 weeks of each term are free to read on this page. Open the term you need, pay KES 30 by M-Pesa, then use Print / Save PDF — the sheet is laid out for A4 landscape.
Can I adapt it for my own school calendar?
Every scheme is generated from the curriculum taxonomy, so you can rebuild it with your own week count, strands and pacing on the Generate screen and keep the result as your own document.