Grade 3 Kiswahili Activities Scheme of Work — Terms 1, 2 and 3, 2026
A CBE Kiswahili Activities scheme of work for Grade 3 covering Terms 1, 2 and 3 2026: strands and sub-strands mapped week by week with specific learning outcomes, key inquiry questions, suggested learning experiences, resources and assessment methods.
- Level
- Grade 3
- Subject
- Kiswahili Activities
- Terms
- Terms 1, 2 and 3
- Year
- 2026
- Weeks
- 39
Term 1 — Grade 3 Kiswahili Activities scheme of work
13 weeks · first 5 freeStrands and sub-strands covered
| Wiki | Somo | Mada | Mada Ndogo | Matokeo Maalum Yanayotarajiwa | Mapendekezo ya Shughuli za Ujifunzaji | Swali Dadisi | Rasilimali za Ujifunzaji | Mbinu za Tathmini | Tafakari |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | Kusikiliza na Kuzungumza | Maamkuzi na Maagano | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano (k.v. Umeamkaje? Umeshindaje? Safiri salama, mchana mwema, usiku mwema) kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro, picha au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. | Je, unajua maamkuzi na maagano yapi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 2 | Kusikiliza na Kuzungumza | Maamkuzi na Maagano | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. | Mwanafunzi aelekezwe: kujadili na wenzake picha, michoro, video n.k. zinazoonyesha vitendo vya maamkuzi na maagano; kuigiza maamkuzi na maagano akiwa na wenzake ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya. | Je, unajua maamkuzi na maagano yapi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 3 | Kusikiliza na Kuzungumza | Maamkuzi na Maagano | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku. | Mwanafunzi aelekezwe: kujadiliana na mzazi au mlezi wake maamkuzi na maagano kutoka kwa jamii yake. | Je, unajua maamkuzi na maagano yapi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 4 | Kusoma | Kusoma kwa ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu; kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi cha maneno 51- 54 na kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v. uzalendo, umoja, undugu, ushirikiano, upendo) akiwa na wenzake; kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano. | Je, unapenda kusoma hadithi za aina gani?; Je, ni mambo gani unayoweza kujifunza kutokana na hadithi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. | Mwanafunzi aelekezwe: kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akishirikiana na wenzake; kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akiwa na wenzake; kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma. | Je, unapenda kusoma hadithi za aina gani?; Je, ni mambo gani unayoweza kujifunza kutokana na hadithi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 2 | Kusoma | Kusoma kwa ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu; kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. | Mwanafunzi aelekezwe: kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake; kumsomea mzazi au mlezi kifungu kuhusu suala lengwa ili amtolee maoni. | Je, unapenda kusoma hadithi za aina gani?; Je, ni mambo gani unayoweza kujifunza kutokana na hadithi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 3 | Kuandika | Hati Nadhifu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua mambo yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua mambo mbalimbali yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu (k.v. muundo wa herufi, nafasi ifaayo kati ya maneno, nafasi zifaazo pambizoni, kutenganisha sentensi ifaavyo, usafi wa nakala ) kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. | Unazingatia mambo gani unapoandika kifungu? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 4 | Kuandika | Hati Nadhifu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika kifungu cha maneno kati ya 25-30 kwa hati nadhifu. | Mwanafunzi aelekezwe: kunakili kifungu cha maneno yasiyozidi 30 kwa hati nadhifu kutoka kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali. | Unazingatia mambo gani unapoandika kifungu? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 1 | Kuandika | Hati Nadhifu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kuandika kwa hati nadhifu ili kufanikisha mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 30 akizingatia hatua za uandishi (k.v. maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake. | Unazingatia mambo gani unapoandika kifungu? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 2 | Sarufi | Matumizi ya yeye na wao | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua neno yeye na wao katika sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza kifungu au wimbo unaohusu yeye na wao kutoka kwa mwalimu au kifaa cha kidijitali; kutambua neno yeye na wao kutoka kifungu alichokisikiliza. | Ni maneno gani unayoyatumia kuwataja wenzako bila kutumia majina yao halisi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 3 | Sarufi | Matumizi ya yeye na wao | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma vifungu na kutambua neno yeye na wao akiwa na wenzake au katika kikundi. | Ni maneno gani unayoyatumia kuwataja wenzako bila kutumia majina yao halisi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 4 | Sarufi | Matumizi ya yeye na wao | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kujaza mapengo kwa kutumia yeye na wao; kutumia yeye na wao katika kuigiza mazungumzo na wenzake katika kikundi k.v.Yeye anasoma - wao wanasoma. | Ni maneno gani unayoyatumia kuwataja wenzako bila kutumia majina yao halisi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 1 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua vokali za Kiswahili katika matini; kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua vokali za Kiswahili katika matini ya kutamkwa au kuandikwa; kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili; kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini ya kutamkwa au kuandikwa. | Je, kwa nini ni muhimu kutambua sauti za lugha fulani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 2 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini. | Mwanafunzi aelekezwe: kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili; kusikiliza vokali na konsonanti za Kiswahili (a, b, ch, d, dh, e, f, g, gh, h, i, j, k, l, m, n,ng, ng’, ny, o, p, r, s, sh, t, th, u, v, w, y; zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali na kutambua vokali na konsonanti; kutambua vokali na konsonanti za Kiswahili katika kifungu kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kwenye vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. | Je, kwa nini ni muhimu kutambua sauti za lugha fulani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 3 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili katika matini; kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutamka maneno, sentensi au kifungu chenye sauti za Kiswahili akiwa na wenzake; kujirekodi akitamka sauti za Kiswahili akitumia vifaa vya kidijitali na kujitathmini pamoja au kutathminiwa na wenzake; kutamka sauti za kiswahili ipasavyo naye mzazi au mlezi ampe maoni yake. | Je, kwa nini ni muhimu kutambua sauti za lugha fulani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 4 | Kusoma | Kusoma kwa Ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi; kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua sauti lengwa (/bw/, /fy/, /kw/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake. | Je, utafanya mambo gani unaposoma ili uweze kusikika vizuri? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa Ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika; kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika akiwa na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 47 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi) akiwa na wenzake; kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo akiwa na wenzake. | Je, utafanya mambo gani unaposoma ili uweze kusikika vizuri? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 2 | Kusoma | Kusoma kwa Ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo; kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijtali, n.k. akiwa na wenzake akizingatia sauti inayosikika, matamshi bora, kasi ifaayo na ishara zifaazo; kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi bora,sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo. | Je, utafanya mambo gani unaposoma ili uweze kusikika vizuri? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 3 | Kuandika | Hati Nadhifu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua herufi kubwa katika matini. | Mwanafunzi aelekezwe: kutazama mfano wa uendelezaji ufaao wa maumbo ya herufi kubwa kwenye kifaa cha kidijitali; kutambua herufi kubwa katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake. | Kwa nini tunatumia hati nadhifu kati uandishi ? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 4 | Kuandika | Hati Nadhifu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo. | Mwanafunzi aelekezwe: kunakili kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa. | Kwa nini tunatumia hati nadhifu kati uandishi ? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review |
Weeks 6–13 are in the full Term 1 document — KES 30 by M-Pesa.
Term 2 — Grade 3 Kiswahili Activities scheme of work
13 weeks · first 5 freeStrands and sub-strands covered
| Wiki | Somo | Mada | Mada Ndogo | Matokeo Maalum Yanayotarajiwa | Mapendekezo ya Shughuli za Ujifunzaji | Swali Dadisi | Rasilimali za Ujifunzaji | Mbinu za Tathmini | Tafakari |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | Kuandika | Nafasi ya Pambizo katika uandishi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya akiwa na wenzake; kusoma kifungu na kutambua pambizo na aya kwenye kitabu, chati, kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake. | Je, kwa nini tuzingatie nafasi za pambizo tunapoandika? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 2 | Kuandika | Nafasi ya Pambizo katika uandishi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya. | Mwanafunzi aelekezwe: kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali na kuwasomea wenzake. | Je, kwa nini tuzingatie nafasi za pambizo tunapoandika? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 3 | Kuandika | Nafasi ya Pambizo katika uandishi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya. | Mwanafunzi aelekezwe: kushirikiana na wenzake kuandika kifungu kifupi akizingatia aya na pambizo na kuwasomea wenzake; kuandika na kumuonyesha mzazi au mlezi kifungu alichoandika akizingatia aya na pambizo ili ampe maoni yake. | Je, kwa nini tuzingatie nafasi za pambizo tunapoandika? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 4 | Sarufi | Umoja na Wingi wa Sentensi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua sentensi katika umoja na wingi. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma sentensi katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake; kutambua sentensi katika umoja na wingi kutoka kwenye chati au vifaa vya kidijitali. | Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 1 | Sarufi | Umoja na Wingi wa Sentensi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika sentensi katika umoja na wingi. | Mwanafunzi aelekezwe: kujaza nafasi kwa kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na mwenzake; kushiriki katika mchezo wa kusoma sentensi katika umoja na mwenzake. | Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 2 | Sarufi | Umoja na Wingi wa Sentensi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kuandika umoja na wingi wa sentensi akiwa na wenzake; kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi alizoandika katika umoja na wingi ili azitolee maoni. | Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 3 | Kusikiliza na Kuzungumza | Ufahamu wa Kusikiliza | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu; kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza. | Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza kifungu cha maneno 60-65 kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali ili kutambua ujumbe unaowasilishwa; kutambua msamiati uliotumika katika ufahamu aliousikiliza akiwa na wenzake. | Je, unazingatia mambo gani ili kuelewa mambo unayoelezewa? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 4 | Kusikiliza na Kuzungumza | Ufahamu wa Kusikiliza | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza. | Mwanafunzi aelekezwe: kutunga sentensi kwa kutumia msamiati aliousikiliza uliotumika kwenye kifungu; kujibu maswali yanayohusiana na kifungu alichosikiliza. | Je, unazingatia mambo gani ili kuelewa mambo unayoelezewa? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 1 | Kusikiliza na Kuzungumza | Ufahamu wa Kusikiliza | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza; kuchangamkia kusikiliza kifungu. | Mwanafunzi aelekezwe: kujadili mambo muhimu katika kifungu alichokisikiliza akiwa na wenzake; kusimulia wenzake upya kifungu alichokisikiliza. | Je, unazingatia mambo gani ili kuelewa mambo unayoelezewa? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 2 | Kusoma | Kusoma kwa Ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu; kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. | Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza au kutazama nyimbo kuhusu usalama shuleni kwenye kifaa cha kidijitali; kutaja masuala ya usalama shuleni akiwa na wenzake; kuimba nyimbo kuhusu usalama shuleni akiwa na wenzake. | Je, ni mambo gani unapaswa kuzingatia ili kufanikisha usomaji bora? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 3 | Kusoma | Kusoma kwa Ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi cha maneno 60- 65 na kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v. usalama, hatari, umia, tibu, tahadhari, zahanati, dawa, huduma ya kwanza) akishirikiana na wenzake; kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake; kushirikiana na wenzake kufanya maigizo kuhusu usalama shuleni. | Je, ni mambo gani unapaswa kuzingatia ili kufanikisha usomaji bora? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 4 | Kusoma | Kusoma kwa Ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu; kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. | Mwanafunzi aelekezwe: kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akiwa na wenzake; kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha kwenye kifungu akiwa na wenzake; kutumia msamiati wa suala lengwa kutunga sentensi kwa usahihi kwa kuzingatia suala. | Je, ni mambo gani unapaswa kuzingatia ili kufanikisha usomaji bora? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 1 | Kuandika | Matumizi ya Kiulizi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua alama ya kiulizi katika maandishi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua alama ya kiulizi kutoka kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake. | Je, alama ya kiulizi inatumika vipi katika uandishi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 2 | Kuandika | Matumizi ya Kiulizi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kueleza matumizi ya alama ya kiulizi katika maandishi; kuandika kifungu cha maneno kati ya 55-60 akitumia alama ya kiulizi ipasavyo. | Mwanafunzi aelekezwe: kujadili na wenzake matumizi ya alama ya kiulizi ili kukuza uwezo wa kuitumia ipasavyo; kunakili ipasavyo kifungu kilichotumia alama ya kiulizi akishirikiana na wenzake. | Je, alama ya kiulizi inatumika vipi katika uandishi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 3 | Kuandika | Matumizi ya Kiulizi | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutumia kiulizi katika maandishi ili kufanikisha mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kuandika kifungu cha maneno kati ya 55-60 akizingatia matumizi ya alama ya kiulizi kisha kuwasomea wenzake ili waitolee maoni. | Je, alama ya kiulizi inatumika vipi katika uandishi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 4 | Sarufi | Matumizi ya -ake na -ao | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua matumizi ya -ake na -ao katika mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua matumizi ya -ake na –ao kutoka kwenye kadi maneno, mti maneno, kapu maneno au chati akiwa na wenzake; kusikiliza kifungu au wimbo unaotumia –ake na ao kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa, au vifaa vya kidijitali. | Je, -ake na -ao hutumiwa vipi katika mawasiliano? – | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 1 | Sarufi | Matumizi ya -ake na -ao | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia -ake na -ao katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu kilichotumia -ake na -ao akiwa na wenzake; kuigiza matumizi ya -ake na -ao akiwa na wenzake katika kikundi kwa kutumia vitu anavyomiliki k.v; kiti chake – viti vyao; kutunga sentensi akitumia -ake na -ao na kuzijadili na mwenzake ili kuzitolea maoni. | Je, -ake na -ao hutumiwa vipi katika mawasiliano? – | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 2 | Sarufi | Matumizi ya -ake na -ao | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutumia - ake na -ao ili kufanikisha mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi zilizotumia -ake na-ao; kumtungia mzazi au mlezi sentensi zilizo na -ake na -ao kwa kurejelea vitu mbalimbali nyumbani. | Je, -ake na -ao hutumiwa vipi katika mawasiliano? – | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 3 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua silabi za sauti lengwa (/dh/, /th/ na /ch/) katika kitabu, kadi maneno, chati, mti maneno, vifaa vya kidijitali n.k. akiwa na wenzake; kusikiliza kifungu na kutambua sauti lengwa akiwa na wenzake. | Je, matamshi bora hufanikisha vipi mawasiliano?; Je, ni mambo gani yanayozingati-wa ili kuboresha matamshi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 4 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwenye kifungu kwa ufasaha; kutumia maneno yenye sauti lengwa katika matini. | Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijitali na kuyatamka ipasavyo; kuambatanisha silabi na kutamka maneno yanayotokana na sauti lengwa akiwa na wenzake; kusikiliza kwa makini sentensi zenye maneno yenye silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijitali na kutambua sauti lengwa akishirikiana na wenzake. | Je, matamshi bora hufanikisha vipi mawasiliano?; Je, ni mambo gani yanayozingati-wa ili kuboresha matamshi? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review |
Weeks 6–13 are in the full Term 2 document — KES 30 by M-Pesa.
Term 3 — Grade 3 Kiswahili Activities scheme of work
13 weeks · first 5 freeStrands and sub-strands covered
| Wiki | Somo | Mada | Mada Ndogo | Matokeo Maalum Yanayotarajiwa | Mapendekezo ya Shughuli za Ujifunzaji | Swali Dadisi | Rasilimali za Ujifunzaji | Mbinu za Tathmini | Tafakari |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | Sarufi | Ukanushaji wa nafsi ya tatu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi kutoka kwenye kadi maneno, mti maneno, kapu maneno, chati au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake; kusikiliza kifungu au wimbo kuhusu ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali na kutambua ukanushaji wa nafsi hiyo. | Unafikiri mwalimu wako alifanya nini jana? Kama hakufanya mambo uliyotaja ungesemaje? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 2 | Sarufi | Ukanushaji wa nafsi ya tatu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi kwa usahihi. | Mwanafunzi aelekezwe: kujaza nafasi kwa kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi; kutunga sentensi akitumia nafsi ya tatu umoja na wingi na ukanushaji wake (kwa mfano: yeye anaandika - yeye haandiki). | Unafikiri mwalimu wako alifanya nini jana? Kama hakufanya mambo uliyotaja ungesemaje? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 3 | Sarufi | Ukanushaji wa nafsi ya tatu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika mawasiliano ya kila siku. | Mwanafunzi aelekezwe: kuigiza matumizi ya nafsi ya tatu umoja na wingi na ukanushaji akiwa na wenzake; kumsomea mzazi au mlezi sentensi za nafsi ya tatu umoja na wingi zilizokanushwa kuashiria vitendo vya watu mbalimbali nyumbani. | Unafikiri mwalimu wako alifanya nini jana? Kama hakufanya mambo uliyotaja ungesemaje? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 1 | 4 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua silabi za sauti lengwa (/mbw/,/nd/, /ny/) katika kadi maneno, chati, mti maneno, au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake; kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali na kutambua silabi lengwa. | Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 1 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha; kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora. | Mwanafunzi aelekezwe: kutamka maneno aliyosikiliza yenye sauti lengwa; atamke na mwalimu na mwishowe atamke akiwa na wenzake; kusikiliza kwa makini sentensi zenye maneno yenye silabi za sauti lengwa kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali na kutambua sauti lengwa akishirikiana na wenzake; kusikiliza kifungu cha hadithi na kutambua sauti lengwa. | Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 2 | Kusikiliza na Kuzungumza | Matamshi Bora | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia matamshi bora katika mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kwa sauti kifungu kilicho na sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora; kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yenye sauti lengwa na kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi. | Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 3 | Kusoma | Kusoma kwa Ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua sauti lengwa (/mbw/,/nd/, /ny/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake. | Je, ni kwa nini tunasoma kwa ufasaha? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 2 | 4 | Kusoma | Kusoma kwa Ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika; kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika akiwa na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 53 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi). | Je, ni kwa nini tunasoma kwa ufasaha? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa Ufasaha | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo; kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo akiwa na wenzake; kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi bora,sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo kwa ufasaha. | Je, ni kwa nini tunasoma kwa ufasaha? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 2 | Kuandika | Tahajia | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua tahajia sahihi za maneno katika uandishi wa insha kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali; kushirikiana na wenzake kujadili kuhusu tahajia sahihi ya maneno katika kifungu kitabuni au kwenye kifaa cha kidijitali. | Kwa nini ni muhimu kuendeleza maneno ipasavyo unapoandika chochote? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 3 | Kuandika | Tahajia | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika insha akizingatia tahajia sahihi za maneno. | Mwanafunzi aelekezwe: kuandika insha akizingatia tahajia sahihi za maneno katika uandishi. | Kwa nini ni muhimu kuendeleza maneno ipasavyo unapoandika chochote? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 3 | 4 | Kuandika | Tahajia | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi. | Mwanafunzi aelekezwe: kurekebisha insha akizingatia tahajia za maneno; kumsomea mzazi au mlezi insha aliyoiandika kwa kuzingatia tahajia za maneno. | Kwa nini ni muhimu kuendeleza maneno ipasavyo unapoandika chochote? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 1 | Sarufi | Matumizi ya neno hili na haya | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua matumizi ya neno hili na haya katika kifungu. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua matumizi ya neno hili na haya (k.v. jicho hili – macho haya, jino hili – meno haya n.k.) katika kifungu kwenye chati au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake; kusoma sentensi zinazoonyesha matumizi ya neno hili na haya katika kifungu akishirikiana na wenzake. | Ni maneno yapi yanayoambatanishwa na maneno hili na haya? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 2 | Sarufi | Matumizi ya neno hili na haya | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia neno hili na haya katika kifungu ili kuboresha mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kujaza nafasi kwa kutumia neno hili na haya akiwa na wenzake. | Ni maneno yapi yanayoambatanishwa na maneno hili na haya? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 3 | Sarufi | Matumizi ya neno hili na haya | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia matumizi ya hili na haya katika mawasiliano. | Mwanafunzi aelekezwe: kuandika kifungu kwa kutumia neno hili na haya na kujadili na wenzake ili kukitolea maoni; kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokitunga ili akitolee maoni. | Ni maneno yapi yanayoambatanishwa na maneno hili na haya? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 4 | 4 | Kusikiliza na Kuzungumza | Mazungumzo | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua suala lengwa linalozungumziwa; kuzingatia matamshi bora katika mazungumzo. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua suala lengwa linalozungumziwa kupitia kwa picha kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali pamoja na wenzake; kuchukua muda wa kufikiri kuhusu suala la kuzungumzia; kupanga mawazo yake kuhusu suala lengwa na kuandaa hoja za kuzungumzia. | Je,unazingatia nini unapozungumza kuhusu masuala mbalimbali? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 1 | Kusikiliza na Kuzungumza | Mazungumzo | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kujieleza kwa ufasaha kuhusu suala lengwa. | Mwanafunzi aelekezwe: kutamka maneno kwa kuzingatia matamshi yafaayo ya sauti mbalimbali; kueleza habari ambayo zinaleta maana na zenye kufuatana vizuri. | Je,unazingatia nini unapozungumza kuhusu masuala mbalimbali? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 2 | Kusikiliza na Kuzungumza | Mazungumzo | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia ishara zifaazo katika mazungumzo; kuchangamkia mazungumzo katika mawasiliano ya kila siku. | Mwanafunzi aelekezwe: kupandisha na kushusha sauti panapohitajika; kutumia ishara mbalimbali zinazohusina na maelezo yake kuhusu suala lengwa; kuzungumza na mzazi au mlezi wake akizingatia suala lengwa ili aimarishe mawasiliano. | Je,unazingatia nini unapozungumza kuhusu masuala mbalimbali? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 3 | Kusoma | Kusoma kwa ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi; kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha hadithi. | Mwanafunzi aelekezwe: kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi kutoka kwenye chati, kadi maneno, mti maneno au kifaa cha kidijitali; kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano. | Je, ni mambo yapi unayozingatia unaposoma kifungu chochote? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review | |
| 5 | 4 | Kusoma | Kusoma kwa ufahamu | Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia picha. | Mwanafunzi aelekezwe: kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha akiwa na wenzake; kusoma kifungu chepesi cha maneno 70- 75 na kutambua msamiati wa suala lengwa akiwa na wenzake; kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha hadithi akiwa na wenzake. | Je, ni mambo yapi unayozingatia unaposoma kifungu chochote? | Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali | Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review |
Weeks 6–13 are in the full Term 3 document — KES 30 by M-Pesa.
More Grade 3 schemes of work
Questions about this scheme of work
Does this page cover all the terms?
It carries Terms 1, 2 and 3 of 2026 — every term published for Grade 3 Kiswahili Activities so far. Each term has its own week-by-week table and free preview, and a new term joins this same page when it goes live.
How do I download a whole term as a PDF?
The first 5 weeks of each term are free to read on this page. Open the term you need, pay KES 30 by M-Pesa, then use Print / Save PDF — the sheet is laid out for A4 landscape.
Can I adapt it for my own school calendar?
Every scheme is generated from the curriculum taxonomy, so you can rebuild it with your own week count, strands and pacing on the Generate screen and keep the result as your own document.