CBE · Upper Primary

Grade 5 Kiswahili Scheme of Work — Terms 1, 2 and 3, 2026

A CBE Kiswahili scheme of work for Grade 5 covering Terms 1, 2 and 3 2026: strands and sub-strands mapped week by week with specific learning outcomes, key inquiry questions, suggested learning experiences, resources and assessment methods.

Level
Grade 5
Subject
Kiswahili
Terms
Terms 1, 2 and 3
Year
2026
Weeks
39

Term 1 — Grade 5 Kiswahili scheme of work

13 weeks · first 5 free

Strands and sub-strands covered

Kusikiliza na Kuzungumza Matamshi Bora · Maamkuzi na Maagano
Kusoma Kusoma kwa Ufahamu · Kusoma kwa Ufasaha
Kuandika Insha ya wasifu · Insha ya masimulizi · Kuandika kwa Tarakilishi
Sarufi Nomino za Pekee · Nomino za kawaida · Nomino za Wingi · Vitenzi-jina · Nomino za Makundi · Nomino Ambata · Nomino za dhahania · Uakifishi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma kwa Kina
Kusikilizana Kuzungumza Matamshi Bora · Heshima, adabu na vyeo
Grade 5 Kiswahili Term 1 2026 scheme of work table
WikiSomoMadaMada NdogoMatokeo Maalum YanayotarajiwaMapendekezo ya Shughuli za UjifunzajiSwali DadisiRasilimali za UjifunzajiMbinu za TathminiTafakari
1 1 Kusikiliza na Kuzungumza Matamshi Bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno: f/v, s/z, l/r na th/dh. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua silabi za sauti lengwa kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia; kusikiliza silabi za sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia (k.v. kinasasauti). Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokangany a kimatamshi?; Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi zinazokangany a kimatamshi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 2 Kusikiliza na Kuzungumza Matamshi Bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kutofautisha matamshi yake. Mwanafunzi aelekezwe: kutamka silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake; kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa (k.m. shirika la reli la Rwanda larejelea shughuli zake rasmi). Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokangany a kimatamshi?; Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi zinazokangany a kimatamshi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 3 Kusikiliza na Kuzungumza Matamshi Bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano; kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ). Mwanafunzi aelekezwe: kuunda vitanzandimi vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokangany a kimatamshi?; Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi zinazokangany a kimatamshi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 4 Kusikiliza na Kuzungumza Matamshi Bora Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh) ili kuimarisha matamshi yake. Mwanafunzi aelekezwe: kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha; kusakura mtandaoni ili kupata vitanzandimi zaidi vyenye sauti lengwa. Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokangany a kimatamshi?; Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi zinazokangany a kimatamshi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 1 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu; kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v. vyakula, viungo vya kupikia, njia za kupika na vifaa vya kupikia) kwa kutumia kadi za maneno, chati, mti maneno au kifaa cha kidijitali; kushiriki katika vikundi kujadili na kutumia msamiati wa suala lengwa katika sentensi. Kusoma kuhusu mapishi kuna umuhimu gani?; Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu mapishi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 2 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia ujumbe, matukio na wahusika; kuonyesha uelewa wa kifungu kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali, kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi; kutoa muhtasari kuhusu kifungu alichosoma; kujibu maswali kutokana na kifungu alichosoma, kusoma vifungu mtandaoni kuhusu suala lengwa na kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe ulioyomo. Kusoma kuhusu mapishi kuna umuhimu gani?; Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu mapishi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 3 Kuandika Insha ya wasifu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake; kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi; kusoma vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi; kushirikiana na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu; kukishirikiana na wenzake katika vikundi ili kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa. Insha ya wasifu inahusu nini?; Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 4 Kuandika Insha ya wasifu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika. Mwanafunzi aelekezwe: kuaandika insha ya wasifu isiyopungua maneno 150 inayohusu mada lengwa (k.v. Mpishi nimpendaye) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi (k.v uakifishaji mwafaka na tahajia) na kwa lugha ya kiubunifu inayojumuisha methali, tashbihi na nahau alizojifunza awali; kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini; kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili kumpa motisha kuandika zaidi. kumwonyesha mzazi au mlezi wake insha ya wasifu aliyoandika ili apate maoni. Insha ya wasifu inahusu nini?; Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 1 Sarufi Nomino za Pekee Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno; kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee ili kukuza matumizi ya lugha sahihi. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua nomino za pekee (k.v. Kisumu, Mei, Rabuka, Alhamisi na Yohana) kwenye tarakilishi, kapu maneno, mti maneno, kadi maneno au chati; kutaja nomino za pekee akiwa na wenzake kama vile za majina ya mji, majina ya mito, majina ya watu na majina ya miezi. Nomino za pekee zinahusu nini?; Ni nomino zipi za pekee unazozijua? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 2 Sarufi Nomino za Pekee Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia matumizi ya nomino za pekee katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua nomino za pekee katika sentensi kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzipigia mstari au kukolezea rangi; kujaza nafasi kwenye sentensi au kifungu kwa kutumia nomino za pekee; kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee akiwa na wenzake. Nomino za pekee zinahusu nini?; Ni nomino zipi za pekee unazozijua? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 3 Sarufi Nomino za kawaida Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno; kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida ili kukuza matumizi sahihi ya lugha. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua nomino za kawaida kwenye kadi au kapu la maneno (k.v.mtu, mtoto, darasa, ukuta, mwalimu, meza na kiti); kutaja akiwa na wenzake nomino za kawaida. Je, ni vitu gani vipatikanavyo katika mazingira yako?; Ni vitu gani vinavyotumi wa katika mapishi mbalimbali? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 4 Sarufi Nomino za kawaida Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia kutumia nomino za kawaida katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua nomino za kawaida katika sentensi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye tarakilishi; kutumia nomino za kawaida kujaza nafasi kwenye sentensi; kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida akiwa peke yake wawiliwawili au kwenye vikundi. Je, ni vitu gani vipatikanavyo katika mazingira yako?; Ni vitu gani vinavyotumi wa katika mapishi mbalimbali? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 1 Kusikiliza na Kuzungumza Maamkuzi na Maagano Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano; kueleza maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali ili kuyabainisha. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua maamkuzi (k.v. shikamoo, Habari za utokako? Habari za adhuhuri? Habari za jioni?) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali, michoro na picha; kushiriki kujadiliana na mwenzake au katika vikundi maamkuzi yanayolengwa na matumizi yake; kutambua maagano (k.v lala salama, safari njema, alamsiki) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali, michoro na picha. Je, watu husalimiana vipi katika jamii?; Je, watu huagana vipi katika jamii? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 2 Kusikiliza na Kuzungumza Maamkuzi na Maagano Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano; kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. Mwanafunzi aelekezwe: kushirikiana na wenzake kuigiza maamkuzi na maagano lengwa; ktazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali; kuambatanisha maamkuzi na maagano na majibu sahihi. Je, watu husalimiana vipi katika jamii?; Je, watu huagana vipi katika jamii? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 3 Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma kwa Kina Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi; kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua yaliyo katika matini teule ili kukuza msamiati wake. Mwanafunzi aelekezwe: kupanga maneno aliyopewa kwenye chati, kapu maneno au mti maneno kialfabeti; kuchague neno kutoka kapu maneno au mti maneno ili kulitafuta kwenye kamusi. Maana ya maneno ya Kiswahili hupatikana wapi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 4 Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma kwa Kina Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake. Mwanafunzi aelekezwe: kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi; kutumia mtandao kutafuta maana za maneno. Maana ya maneno ya Kiswahili hupatikana wapi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 1 Kuandika Insha ya masimulizi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo; kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi; kushiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya masimulizi. Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 2 Kuandika Insha ya masimulizi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake. Mwanafunzi aelekezwe: kuandika insha isiyopungua maneno 150 inayosimulia kisa cha tukio linalohusiana na huduma ya kwanza kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu; kuandika insha ya masimulizi mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini; kusomea wenzake insha aliyoandika ili kuitathmini. Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 3 Sarufi Nomino za Wingi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze; kutambua nomino za wingi katika matini ili kuzibainisha. Mwanafunzi aelekezwe: Mwanafunzi; kutambua nomino za wingi (k.m chumvi, sukari, maji, uji, mafuta na manukato) kutoka kwenye kapu la maneno, chati, vitabu na vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi. Unajua majina gani yanayohusu vitu vinavyopatikana katika wingi tu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 4 Sarufi Nomino za Wingi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia nomino za wingi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano; kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua nomino za wingi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini; kutumia nomino za wingi kujaza nafasi kwenye sentensi; kutumia nomino za wingi katika sentensi kwa kufanya mazoezi daftarini. Unajua majina gani yanayohusu vitu vinavyopatikana katika wingi tu? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
Showing 5 of 13 weeks of Term 1

Weeks 6–13 are in the full Term 1 document — KES 30 by M-Pesa.

Unlock Term 1

Term 2 — Grade 5 Kiswahili scheme of work

13 weeks · first 5 free

Strands and sub-strands covered

Kusoma Kusoma kwa Mapana · Kusoma kwa Ufahamu · Kusoma kwa Mapana Matini
Kuandika Baruapepe · Insha ya Maelezo · Insha za Wasifu · Kuandika Insha
Sarufi Ngeli I-ZI · Ngeli ya I- ZI · Ngeli ya U- ZI · Ngeli ya U- YA · Ngeli ya KU-KU
Kusikiliza na Kuzungumza Methali · Ushairi · Nahau
Kusikilizana Kuzungumza Visawe
Grade 5 Kiswahili Term 2 2026 scheme of work table
WikiSomoMadaMada NdogoMatokeo Maalum YanayotarajiwaMapendekezo ya Shughuli za UjifunzajiSwali DadisiRasilimali za UjifunzajiMbinu za TathminiTafakari
1 1 Kusoma Kusoma kwa Mapana Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali; kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini ya kidijitali. Mwanafunzi aelekezwe: kuzingatia hatua za kiusalama katika kutumia vifaa vya kidijitali k.v. kufungua mitandao ifaayo; kutambua mitandao salama yenye matini inayohusu suala lengwa (saa na majira) na inayoafiki kiwango chake; kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao. Ni njia zipi unazoweza kupata matini za kusoma katika vifaa vya kidijitali? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 2 Kusoma Kusoma kwa Mapana Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa; kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma matini kwa kutumia vifaa vya kidijitali yanayojumuisha msamiati wa saa (k.v. kasoro dakika…, saa… kamili, saa…na dakika…) na majira (nyakati za siku) (k.v. alfajiri, asubuhi, adhuhuri, alasiri, thenashara, machweo na macheo); kusoma vifungu vyenye suala lengwa ambavyo alisakura; kutoa habari kuhusu matini aliyosoma kwa muhtasari na kujibu maswali katika maandishi au mazungumzo na wenzake. Ni njia zipi unazoweza kupata matini za kusoma katika vifaa vya kidijitali? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 3 Kuandika Baruapepe Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake; kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua muundo wa baruapepe kwa kurejelea kielelezo chake kilichochapishwa au kwenye tarakilishi; kujadili sehemu mbalimbali za baruapepe kama vile anwanipepe ya mtumaji (k.m. [email protected]), anwanipepe ya mpokeaji, mada ya baruapepe, mtajo, mwili, hitimisho na jina la mwandishi/ mtumaji; kuandika baruapepe kwa rafiki, ndugu, au mzazi akishirikiana na wenzake darasani, kwa kutumia tarakilishi akizingatia muundo wa uandishi wa baruapepe, utaratibu ufaao, kutunga na kupanga sentensi kuunda aya katika uandishi barua; kushirikiana na wenzake kujadili mada ya baruapepe na vipengele vyake/yale yanayofaa kujumuishwa. Unazingatia mambo gani unapoandika baruapepe?; Ni mambo gani unayoweza kumweleza rafiki yako katika baruapepe? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 4 Kuandika Baruapepe Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kuandika baruapepe kwa rafiki kwa kuzingatia ubora wa sentensi (sahihi kisarufi, zilizokamilika kimaana, zenye kufuatana kwa kujenga wazo na zenye kuzingatia uakifishi mzuri) kuunda aya; kushirikisha msamiati wa mada lengwa katika baruapepe yake; kuandika baruapepe na kuituma kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini. Unazingatia mambo gani unapoandika baruapepe?; Ni mambo gani unayoweza kumweleza rafiki yako katika baruapepe? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 1 Sarufi Ngeli I-ZI Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine; kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v. nguo-nguo, ndizi-ndizi, ndoo-ndoo na nyumba-nyumba); kuandika nomino katika ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. Je, unajua nomino zipi ambazo hazibadiliki katika umoja na wingi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 2 Sarufi Ngeli I-ZI Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya I- ZI; kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza za usomaji wa nomino za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti; kuandika mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi. Je, unajua nomino zipi ambazo hazibadiliki katika umoja na wingi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 3 Sarufi Ngeli ya I- ZI Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi; kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua viambishi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini au kuvikoleza rangi katika tarakilishi; kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. Je, utajuaje viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI kwenye sentensi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 4 Sarufi Ngeli ya I- ZI Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuonea fahari matumizi ya ngeli ya I-ZI katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti; kuunda sentensi kwa kutumia nomino za ngeli ya I-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake; kujaza nafasi kwa kutumia viambishi vya nomino za ngeli ya I-ZI kwa maandishi ya mkono au tarakilishi. Je, utajuaje viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI kwenye sentensi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 1 Kusikiliza na Kuzungumza Methali Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua methali zinazohusu bidii ili kuzitofautisha na aina zingine za methali; kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua methali zinazohusu bidii (k.v. mchagua jembe si mkulima, mgagaa na upwa hali wali mkavu, atafutaye hupata, anayejitahidi hufaidi, ukiona vyaelea vimeundwa) katika chati, ubao, vyombo vya kidijitali; kujadiliana kuhusu maana na matumizi ya methali zinazohusu bidii na wenzake darasani; kutoa mifano ya methali zinazohusu bidii. Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 2 Kusikiliza na Kuzungumza Methali Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia methali zinazohusu bidii katika mawasiliano; kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii. Mwanafunzi aelekezwe: kusikiliza methali zinazohusu bidii zikitumiwa kupitia vyombo vya kidijitali; kushirikiana na wenzake katika kukamilisha methali zinazohusu bidii; kusakura mtandaoni kwa kusaidiwa na mzazi au mlezi wake ili kupata methali zaidi zinazohusu bidii na matumizi ya methali hizo. Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 3 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua mizani na vina katika shairi ili kuvibainisha; kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua vina na mizani katika shairi lililochapisha au la mtandaoni; kujadili vina na mizani katika shairi akiwa na mwenzake au katika kikundi. Je, ni nini kinachotofautisha mashairi na maandishi mengine? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 4 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti. Mwanafunzi aelekezwe: kushirikiana na mwenzake kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe; kusikiliza shairi likisomwa kwa mahadhi kwenye vifaa vya kidijitali au na mgeni mwalikwa na kujadili vina, mizani na ujumbe wake; kushirikiana na wenzake kutafuta mashairi mtandaoni na kujadili vina, mizani na ujumbe uliomo. Je, ni nini kinachotofautisha mashairi na maandishi mengine? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 1 Kuandika Insha ya Maelezo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi; kushirikiana na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya maelezo; kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha. Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 2 Kuandika Insha ya Maelezo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo, kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi. Mwanafunzi aelekezwe: kuandika insha ya maelezo (k.v. Jinsi ninavyoweza kuchangia kukabiliana na umaskini nyumbani, Maskini alivyogeuka kuwa tajiri, Jinsi elimu ilivyosaidia kumaliza umaskini, jinsi matumizi bora ya pesa yanavyosaidia kumaliza umaskini, jinsi ulipaji ushuru unavyosaidia kukabiliana na umaskini) isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali; kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini; kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili kuitolea maoni. Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 3 Sarufi Ngeli ya U- ZI Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI ili kuzibainisha; kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua nomino katika ngeli ya; U-ZI kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.m. uzi-nyuzi, ukuta-kuta, uta-nyuta, ubavu-mbavu, wakati-nyakati, ukucha-kucha na ufunguo-funguo, wimbo-nyimbo). Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 4 Sarufi Ngeli ya U- ZI Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya U-ZI; kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kuandika nomino katika ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi akiwa na wenzake; kuandika mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi. Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 1 Sarufi Ngeli ya U- ZI Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-ZI katika sentensi; kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua viambishi vya ngeli ya U-ZI katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini mwake au kuvikoleza rangi katika tarakilishi; kusikiliza usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti. Je, nomino za ngeli ya U-ZI huchukua viambishi vipatanishi gani? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 2 Sarufi Ngeli ya U- ZI Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia matumizi ya ngeli ya U-ZI katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kuunda sentensi kwa kutumia nomino za ngeli ya U-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wengine; kujaza nafasi kwa kutumia viambishi vya ngeli ya U- ZI kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi. Je, nomino za ngeli ya U-ZI huchukua viambishi vipatanishi gani? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 3 Kusikiliza na Kuzungumza Ushairi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali; kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi. Mwanafunzi aelekezwe: kukariri shairi kuhusu mada lengwa (maadili) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali; kusikiliza shairi lengwa likikaririwa au kuimbwa na mwalimu, mgeni mwalikwa (mghani) au kupitia vifaa vya kidijitali; kushirikiana na wenzake kukariri au kuimba shairi kwa mahadhi mbalimbali. Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 4 Kusikiliza na Kuzungumza Ushairi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha masiliano; kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali; kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua msamiati uliotumika katika ushairi kuhusu maadili (k.m. haki, usawa, heshima na uwajibikaji) na kuueleza akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake; kushirikiana na wenzake kujadili ujumbe katika shairi; kujibu maswali yanayotokana na shairi alilosikiliza, aliloimba au kukariri. Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
Showing 5 of 13 weeks of Term 2

Weeks 6–13 are in the full Term 2 document — KES 30 by M-Pesa.

Unlock Term 2

Term 3 — Grade 5 Kiswahili scheme of work

13 weeks · first 5 free

Strands and sub-strands covered

Kusikilizana Kuzungumza Visawe · Mazungumzo ya Kimuktadha · Tashbihi
Kusoma Kusoma kwa Ufahamu · Kusoma kwa Mapana · Matini ya Kidijitali · Kusoma kwa Ufasaha
Kuandika Insha za masimulizi · Insha za Maelezo · Baruapepe
Sarufi Mnyambuliko wa Vitenzi · Vinyume vya Vitenzi · Nyakati na Hali · Ukanushaji · Ukubwa na udogo wa nomino
Kuandika Insha Masimulizi ya
Kusikiliza na Kuzungumza Kutoa Masimulizi
Grade 5 Kiswahili Term 3 2026 scheme of work table
WikiSomoMadaMada NdogoMatokeo Maalum YanayotarajiwaMapendekezo ya Shughuli za UjifunzajiSwali DadisiRasilimali za UjifunzajiMbinu za TathminiTafakari
1 1 Kusikilizana Kuzungumza Visawe Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika matini; kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano; kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua maneno matatu yenye maana sawa (k.v. nyumbani, mastakimu, chengo; barabara, tariki, baraste; jitimai, huzuni, simanzi) kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti maneno, kuburura kwa kutumia tarakilishi, n.k; kueleza maana ya maneno matatu yenye maana sawa akiwa na wenzake; kuambatanisha maneno matatu yenye maana sawa kutoka kapu maneno, mti maneno, ubao, chati, vyombo vya kidijitali, kadi maneno n.k; kuhusisha visawe na vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati, kitabu au katika vyombo vya kidijitali n; kujadili visawe mbalimbali katika vikundi; kutumia kisawe kimoja kuchukua nafasi ya kingine katika sentensi. Maneno yaliyo na maana sawa yana umuhimu gani katika mawasiliano? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 2 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua mchezo wa kuigiza katika matini; kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha. Mwanafunzi aelekezwe: kueleza maana ya mchezo wa kuigiza akiwa katika kikundi; kutambua mchezo wa kuigiza, wahusika na maelekezo katika matini mbalimbali kama vile vitabu, chati na vilevile kwa kutumia tarakilishi; kusoma mchezo wa kuigiza akizingatia wahusika, maelekezo na ujumbe. Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza?; Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma?; Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 3 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza; kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali. Mwanafunzi aelekezwe: kushiriki katika majadiliano kuhusu msamiati wa suala lengwa (ndege wa porini) uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza (k.v. chiriku, kasuku, tai, korongo, mwewe na kanga); kutazama mchezo mfupi wa kuigiza ukiigizwa darasani au kwenye vifaa vya kidijitali; kuigiza mchezo mfupi aliousoma akishirikiana na wenzake. Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza?; Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma?; Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
1 4 Kusoma Kusoma kwa Ufahamu Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza; kufurahia kusoma michezo na kuigiza. Mwanafunzi aelekezwe: kushiriki mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza; kusoma mchezo wa kuigiza kwenye mtandao; kushiriki katika kutoa muhtasari wa mchezo aliousoma, kuuliza na kujibu maswali ya ufahamu. Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza?; Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma?; Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 1 Kuandika Insha za masimulizi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze; kueleza sifa za insha ya masimuizi ili kuibainisha. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi; kushiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya masimulizi. Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha ya masimulizi ya kuvutia? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 2 Kuandika Insha za masimulizi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo; kuchangamkia utunzi mzuri. Mwanafunzi aelekezwe: kuandika insha isiyopungua maneno 150, inayosimulia tukio linalohusiana na ndege wa porini kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu; kuandika insha ya masimulizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini; kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza. Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha ya masimulizi ya kuvutia? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 3 Sarufi Mnyambuliko wa Vitenzi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika matini ili kuvitofautisha. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti maneno, ubao na vyombo vya kidijitali; kunyambua vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, wakiwa wawiliwawili au katika vikundi. Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
2 4 Sarufi Mnyambuliko wa Vitenzi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutumia vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana ipasavyo anapowasiliana. Mwanafunzi aelekezwe: kutumia vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi. Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 1 Sarufi Mnyambuliko wa Vitenzi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kushirikiana na wenzake kujaza nafasi katika jedwali la mnyambuliko vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi; kuandika sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali. Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 2 Kusikilizana Kuzungumza Mazungumzo ya Kimuktadha Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua miktadha mbalimbali kunakotumiwa lugha rasmi ili kukuza mawasiliano; kutumia lugha katika miktadha rasmi ili kufanikisha mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua miktadha kunakotumiwa lugha rasmi (k.v ofisini, hospitalini, mahakamani na bungeni); kusikiliza mazungumzo rasmi kwa kutazama maigizo kwenye vyombo vya kidijitali kama vile video, rununu, runinga, tarakilishi n.k. Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 3 Kusikilizana Kuzungumza Mazungumzo ya Kimuktadha Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi. Mwanafunzi aelekezwe: kushiriki katika maigizo ya mazungumzo ya miktadha rasmi akishirikiana na wenzake; kushiriki katika mazungumzo rasmi nje ya darasa k.m. akiwa kwenye gwaride na mazingira rasmi; kutambua nidhamu ya lugha inayozingatiwa katika mazingira rasmi k.m lugha ya heshima na adabu anapowasiliana. Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
3 4 Kusoma Kusoma kwa Mapana Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua matini za aina mbalimbali za kusoma na kuchagua zinazomvutia. Mwanafunzi aelekezwe: kuchagua matini (k.v. vitabu, majarida, magazeti) zinazomvutia maktabani na mtandaoni. Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini?; Unachagua matini hayo kwa nini? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 1 Kusoma Kusoma kwa Mapana Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kusoma matini alizochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa. Mwanafunzi aelekezwe: kusoma matini alizochagua ili kufaidi ujumbe uliomo; kuwatolea wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha. Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini?; Unachagua matini hayo kwa nini? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 2 Kusoma Kusoma kwa Mapana Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake. Mwanafunzi aelekezwe: kujadiliana na wenzake matini ambayo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati. Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini?; Unachagua matini hayo kwa nini? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 3 Kuandika Insha za Maelezo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze; kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi; ashiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo. Je, unaweza kuandika insha ya maelezo juu ya mada gani? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
4 4 Kuandika Insha za Maelezo Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuandika insha ya maelezo kwa kufuata mtindo na muundo ufaao; kuchangamkia utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi. Mwanafunzi aelekezwe: kuandika insha ya maelezo isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia msamiati unaohusu suala lengwa na kwa kuzingatia vigezo kama vile: ujumbe, tahajia, anwani, muundo, mtindo, mapambo ya lugha k.v methali, nahau, tashbihi, istiari n.k. alizojifunza awali; kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini; kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili kuisoma na kuitathmini. Je, unaweza kuandika insha ya maelezo juu ya mada gani? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 1 Sarufi Vinyume vya Vitenzi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua vinyume vya vitenzi katika matini; kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua vinyume vya vitenzi (k.m. Simama-keti, cheka-lia, enda-rudi, anika-anua n.k) katika chati, kadi za maneno, kapu maneno, mti maneno au vifaa vya kidijitali; kushirikiana na wenzake kutafuta vinyume vya vitenzi kwa kurejelea orodha ya vitenzi aliyopewa. Je, ni vitenzi gani unavyoweza kutambua vinyume vyake? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 2 Sarufi Vinyume vya Vitenzi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vitenzi katika mawasiliano ya kila siku. Mwanafunzi aelekezwe: kutalii mazingira yake na kuunda orodha ya vinyume vya vitenzi anavyovitambua; atunge sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi; kuandika upya sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi. Je, ni vitenzi gani unavyoweza kutambua vinyume vyake? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 3 Kusikilizana Kuzungumza Tashbihi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kutambua tashbihi za tabia katika matini ili kuzibainisha; kutumia tashbihi za tabia kwa usahihi katika sentensi. Mwanafunzi aelekezwe: kutambua tashbihi za tabia (k.v. mjanja kama sungura, mlafi kama fisi, mwenye maneno mengi kama kasuku) katika vitabu, matini, chati na vyombo vya kidijitali; kueleza maana ya tashbihi mbalimbali za tabia kwa kutoa mifano. Ni tashbihi zipi hutumiwa kuelezea tabia? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
5 4 Kusikilizana Kuzungumza Tashbihi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kufurahia matumizi ya tashbihi za tabia katika mawasiliano ya kila siku. Mwanafunzi aelekezwe: kukamilisha tashbihi mbalimbali za tabia akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake darasani; kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia tashbihi mbalimbali za tabia; kutumia tashbihi za tabia katika sentensi akiwa katika vikundi. Ni tashbihi zipi hutumiwa kuelezea tabia? Kitabu cha mwanafunzi, chati, kadi za maneno, rekodi za sauti, kifaa cha kidijitali Observation, oral questions, written exercises, group discussion, project work and portfolio review
Showing 5 of 13 weeks of Term 3

Weeks 6–13 are in the full Term 3 document — KES 30 by M-Pesa.

Unlock Term 3

More Grade 5 schemes of work

Questions about this scheme of work

Does this page cover all the terms?

It carries Terms 1, 2 and 3 of 2026 — every term published for Grade 5 Kiswahili so far. Each term has its own week-by-week table and free preview, and a new term joins this same page when it goes live.

How do I download a whole term as a PDF?

The first 5 weeks of each term are free to read on this page. Open the term you need, pay KES 30 by M-Pesa, then use Print / Save PDF — the sheet is laid out for A4 landscape.

Can I adapt it for my own school calendar?

Every scheme is generated from the curriculum taxonomy, so you can rebuild it with your own week count, strands and pacing on the Generate screen and keep the result as your own document.